Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Wacha kutufokea serikali haifanyi biashara inatoa huduma. Ilitakiwa waweke bei ya chini zaidi ya nauli ya mabasi.
unataka waweke bei ya chini afu mishahara walipe nini sasa? mradi utajiendeshaje kama unatoa huduma? manake kama unatoa huduma per se unatakiwa uanze kuupangia bajeti ya kwenye mfuko wa serikali, sisi tunaomba mradi usihitaji pesa za serikalini, ujiendeshe wenyewe wasiopenda kupanda treni wapande mabasi fresh tu, mbona yapo mengi sana?
 
"Tren ya Samia inayodaiwa kuwa ni ya umeme imetoka Dar saa tatu kamili asubuhi imefika Morogoro saa nane na dakika tano mchana yani imetumia masaa matano kwa km 190. Maana yake hii tren ya Escape From Sobibor ilikuwa inatembea kilomita 38 kwa saa, inshot hii ni baiskel ya mkaa."ameandika mdude huko twita.
Screenshot_20240226-171137.jpg
 
Unaanzaje kumsikiliza mvuta bangi kama Mdude Nyagali? Huyo bangi ilishakaa kichwani na kuendelea kumletea madhara kichwani mwake. Treni isingeweza kwenda mwendo wake mkali kwa sababu bado hakujafanyika maandalizi ya kutosha maeneo mbalimbali ya vivuko vya binadamu,wanyama pamoja magari.kwa hiyo ni lazima uende taratibu kwa tahadhari kubwa.
 
Hivi nyie ccm mbona huwa hamkosi sababu?
 
Back
Top Bottom