Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Isipokuwa na ufanisi unaotegemewa itakabidhiwa kwa jeshi kwa ajili ya matumizi yao ili wananchi wasihoji kama ilivyotokea kwenye ile boti ya Dar- Bagamoyo iliyozinduliwa mwishoni mwa mwaka 2014 na ikafeli kwenye ufanisi.
Hili litazinduliwa kwa mbwembwe sana muda ukifka ila baadaye linaweza kufail, sababu ya nauli kuwa kubwa na time distance.
 
Kwanini TRC msichukue wana CCM kadhaa muende nao kwenye majaribio

Maana itakuwa ni jambo la kusikitisha sana kama hiyo treni itapinduka na raia wema
 
Kwanini TRC msichukue wana CCM kadhaa muende nao kwenye majaribio

Maana itakuwa ni jambo la kusikitisha sana kama hiyo treni itapinduka na raia wema
Hivi si kwenye ile safari ya kwanza ya bombadier ya mwanzo kabisa ilijaaga mashati na magauni ya kijani eh?
 
nazani umeme ndo uliwazingua sana jana si ushaingie kwenye gled ya taifa
 
Mama akifeli mnasema ni fisadi, akifanikiwa mnasema ni juhudi za JPM. Acheni unafiki nyie CCM
Utakuwa wewe ndiye unaendekeza hiyo kauli coz hadi kuileta hapa ni tayari umeonesha vile ulivyo.

Mipango yote ya maendeleo ya nchi inatokana na wasimamizi wa serikali ambao ni chama cha mapinduzi akiwemo mwenyekiti wake au wenyeviti waliopita.

Hakuna wa kutoka katika mafanikio au kubolongo kwa taifa.
 
Back
Top Bottom