mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Itafika mpaka chatoSi kujaribu tu au kuna la ziada??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafika mpaka chatoSi kujaribu tu au kuna la ziada??
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, kesho trh 26.2.2024 tunatesti mitambo, mje kwa wingi tuone kama umeme wetu utaweza kumudu mzigo huu 😃!.
View attachment 2916191
Haiwezi fika itaishia njiani.Itafika mpaka chato
mradi wa nguvu suluisho la wanyonge..
naipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla
Vipi mzee unaogopa kupigwa shoti ya umeme na kukatikiwa umeme ukiwa ndani ya hiyo treni?Siwezi kuweka rehani maisha Yangu
Wameanza na magwanda yao, watasema hiyo treni ya mama Samia hivyo ni mali ya CCM.
Ukizoea punda huwezi kuamini technology.Siwezi kuweka rehani maisha Yangu
Umeme wenu upi huo......?!Hayawi hayawi sasa yamekuwa, kesho trh 26.2.2024 tunatesti mitambo, mje kwa wingi tuone kama umeme wetu utaweza kumudu mzigo huu [emoji2]!.
View attachment 2916191
Umesoma hilo bango la TRC?Hiyo ni kujaribu au kwenda kutalii?
Nijuavyo kujaribu huwa watumia mizigo na sio abiria
Isipokuwa na ufanisi unaotegemewa itakabidhiwa kwa jeshi kwa ajili ya matumizi yao ili wananchi wasihoji kama ilivyotokea kwenye ile boti ya Dar- Bagamoyo iliyozinduliwa mwishoni mwa mwaka 2014 na ikafeli kwenye ufanisi.Noma sana tren itafanya kazi siku tatu tu
Wamewasha mlango na 9, unatoa mg 235 na ziko tayari kwenye grid ya taifa.Kuna mtu humu alisema eti stigler gorge inawashwa leo, imewashwa? Au ni janjajanja tu?