kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Bwana la Nyerere litatufanyia mengi, pumzika kwa amani baba JPM, matunda yako tunayaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Kwani mjusi wenyew umeanza safari mda gani mbn mwatutishaTreni ya SGR ya umeme Leo iko Kwenye Majaribio
Devota Minja tujuze kama Mjusi ameshaingia Mji Kasoro Bahari Morogoro
Ni hilo tu 😀
tangu asubuhi dakika 90 bado?Treni ya SGR ya umeme Leo iko Kwenye Majaribio
Devota Minja tujuze kama Mjusi ameshaingia Mji Kasoro Bahari Morogoro
Ni hilo tu 😀
Inaelekea Iko extra-comfortable, hadi watu wanalala!Tunakaribia 🤣
Babu amelala Watu8
Toka saa ngapi vile?Tunakaribia 🤣
Babu amelala Watu8
😂🤣🤣🤣🤣🤣daaah nimecheka sanatangu asubuhi dakika 90 bado?
Ahsante mkuuTunakaribia 🤣
Babu amelala Watu8
Baada ya Majaribio ndio tutajua inatumia muda gani Dar - Morotangu asubuhi dakika 90 bado?
Wewe hukwenda shule naona. Haya mambo hayana kubahatisha... speed is predetermined by manufacturer and if built on a standard scale, there is no room for tukijaribu ndio tutajua inatumia muda gani...Baada ya Majaribio ndio tutajua inatumia muda gani Dar - Moro
Punguza kiherehere 😂😂
Saa 4 🤣Toka saa ngapi vile?
Duh..aibu sana hii nchi hii.Saa 4 🤣
walisema saa nne itaondoka. Vile ni vyuma chakavu can not perform to the expected outcome of 90 min from dar to moro!😂🤣🤣🤣🤣🤣daaah nimecheka sana
Kwani imefika wapi? Mbona hatupati taarifa kamili?😂😂🤣🤣🤣