Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Kama kuna mtu amesema Bimkubwa kachemsha basi huyo ni mwanaccm aliyetumwa na lile genge la kina 2025!.
Genge lipi? Hakuna wa kupambana na Samia huko Ccm, nyie mna kelele tu ila hamna ujasiri wa kumface Samia head on. Alijaribu Ndugai yako wapi? Huko ndio mwenyekiti wenu hadi 2030 na hamna la kumfanya.
 
"Tren ya Samia inayodaiwa kuwa ni ya umeme imetoka Dar saa tatu kamili asubuhi imefika Morogoro saa nane na dakika tano mchana yani imetumia masaa matano kwa km 190. Maana yake hii tren ya Escape From Sobibor ilikuwa inatembea kilomita 38 kwa saa, inshot hii ni baiskel ya mkaa."ameandika mdude huko twita.
View attachment 2917168
Escape from sobibor😂😂😂
 
Trials za umeme, communication lines, njia yenyewe, EMU kutembea yenyewe bila mabehewa zimeshafanywa sana mzee...

Hii ya leo ilikuwa ni real time simulation ya safari kama ikiwa na abiria kwani kulikuwa na wahudumu ndani ya treni, vituoni na huduma zote zinazotakiwa kufanikisha safari n.k...
Mkuu marekebisho. EMU hazijafika. Ni zile ziko kama nyoka. Zitafika mwezi wa tatu.
EMU electric multiple unit hizi zinakuwa set ya behewa zaidi ya mbili na kila moja inajiendesha.
Hii iliofanyiwa majaribio inavutwa na kichwa cha umeme tu mabehewa mizigo.
 
Trials za umeme, communication lines, njia yenyewe, EMU kutembea yenyewe bila mabehewa zimeshafanywa sana mzee...

Hii ya leo ilikuwa ni real time simulation ya safari kama ikiwa na abiria kwani kulikuwa na wahudumu ndani ya treni, vituoni na huduma zote zinazotakiwa kufanikisha safari n.k...
Unataka kusema zile dakika 90 zilikuwa za kichwa pekee yake.

Hizi 300 mlizotumia kufika Mori ni za mabehewa ya abiria.

Mkiongeza mabehewa ya mizigo mtatumia masaa 7 inaonekana
 
Unaanzaje kumsikiliza mvuta bangi kama Mdude Nyagali? Huyo bangi ilishakaa kichwani na kuendelea kumletea madhara kichwani mwake. Treni isingeweza kwenda mwendo wake mkali kwa sababu bado hakujafanyika maandalizi ya kutosha maeneo mbalimbali ya vivuko vya binadamu,wanyama pamoja magari.kwa hiyo ni lazima uende taratibu kwa tahadhari kubwa.
Tunachotaka niliona zile dakika 90 hayo mengine sisi hatujui.
 
Soma nyuzi zote za SGR na Bwawa la Nyerere!! Pro-JPM wote wanalazimisha sifa ziende kwa JPM. Cha ajabu kipindi bwawa linasuasua walisema Mama anahujumu, sijui fisadi, sijui hakuna analoweza. Ila hatimae kafanikisha mnaona aibu mnataka sifa ziende kwa JPM.

Acheni unafiki nyie CCM
We kiazi Kwa akili yako unadhani hiyo miradi isingekuwepo **** Cha maana huyo mama yako angefanya? Kuwa mkweli.

Juzi wametangaza deni la taifa kuongezeka Kwa trillion 12.7 ndani ya mwaka Moja ni hatari sana.

Nyie chawa ifike sehemu muine aibu
 
kiazi Kwa akili yako unadhani hiyo miradi isingekuwepo **** Cha maana huyo mama yako angefanya? Kuwa mkweli.
Ndio ingefanyika kwani kipi cha ajabu? Ipo kwenye mpango wa taifa wa miaka 5 na sio hiyo tu ndio maana JPM naye alikua tuna bomba la gesi, maji ya Victoria yamefika hadi Tabora, Lami mikoa yote, Shule kila kata, upanuzi wa Airport n.k So hakuna Rais ambaye hana miradi aliyofanya sema ushamba wenu na elimu ndogo kudhani JPM ndio muanzilishi na ndio wa mwisho kuifanya.

Juzi wametangaza deni la taifa kuongezeka Kwa trillion 12.7 ndani ya mwaka Moja ni hatari sana.
Nyie watu wa JPM hamjitambui kabisa. Kipindi JPM anakopa kwa ajili ya SGR mlikua mnajitetea kwamba kukopa sio tatizo cha msingi unakopa unafanya nini!! Sasa Mama anakopa amalizie bwawa, amalizie SGR, ajenge vituo vya afya nchi nzima n.k ila kelele!! Ambacho hujui deni la marekani ni 100%+ ya pato lao la taifa yaani deni la marekani ni zaidi ya pato lao. Ila mbona haijaporomoka kiuchumi?

Elimu ni muhimu sana kwa nyie warundi
 
Ndio ingefanyika kwani kipi cha ajabu? Ipo kwenye mpango wa taifa wa miaka 5 na sio hiyo tu ndio maana JPM naye alikua tuna bomba la gesi, maji ya Victoria yamefika hadi Tabora, Lami mikoa yote, Shule kila kata, upanuzi wa Airport n.k So hakuna Rais ambaye hana miradi aliyofanya sema ushamba wenu na elimu ndogo kudhani JPM ndio muanzilishi na ndio wa mwisho kuifanya.

Nyie watu wa JPM hamjitambui kabisa. Kipindi JPM anakopa kwa ajili ya SGR mlikua mnajitetea kwamba kukopa sio tatizo cha msingi unakopa unafanya nini!! Sasa Mama anakopa amalizie bwawa, amalizie SGR, ajenge vituo vya afya nchi nzima n.k ila kelele!! Ambacho hujui deni la marekani ni 100%+ ya pato lao la taifa yaani deni la marekani ni zaidi ya pato lao. Ila mbona haijaporomoka kiuchumi?

Elimu ni muhimu sana kwa nyie warundi
We mwenye akili hebu tuambieni JPM alikopa kiasi gani Kwa miaka mitano na huyo mama kakopa shingapi Kwa miaka mitatu. Kutwa kuzurula na msafara ya ma best na ndugu hakuna Cha maana anafanya

Alafu anatokea chawa mjinga mflani anaitwa watu wanao hoji kuwa ni wa Jiwe. Hebu kuweni na akili japo mara moja kuliko kuwa mnajitoa ufahamu. Tena wewe ni kilaza wa mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom