Majaribu tumeumbiwa wanadamu

Pole sana, Mungu akujalie faraja
 
Ahsante Kwa ushauri! Ndoa Zina changamoto mno. Siwezi kuongea in public lakini napenda ujue nimeishi like 13 years ndani ya ndoa hivyo najua upside down. Let it be maana yeye ndo karequest divorce pia kulikuwa na effort za kifamilia za kurescue Hilo lkn zilishindikana. Let it be.
 
Pole sana Mkuu!
Usivunjike moyo.
Naamini Mwenyezi Mungu atafanya njia.
Amina! Maisha ya Mungu. Nimeongea kutokana na maishi niliyoishi naye niliishi Kwa furaha na amani mno. Naamini Kila jambo ni Mpango wa Mungu hivyo tumshukuru Kuna njia atafanya.
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na mpendwa wako,lakini kwanini hukumpeleka hospital before maana huo ushauri aliokupa daktari ulikua upewe ukiwa na mgonjwa hospital.
 
Pole sana, duniani mambo ni mengi unatakiwa uvae ujasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…