Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Hahaaaaaaa
 
sasa we mjinga unayedharau taaluma za watu, umeona ulivyochemka na kundi lako. wale watz 8 waliokamatwa malawi, walikuwa wakatoliki waliokuwa wametoka songea na walikuwa mikononi mwa askofu wa kimalawi ambaye hadi sasa anawapelekea chakula lupango. akili zenu ninyi ni ndogo kama wamalawi wenyewe, ni upumbavu unawasumbua vichwani mwenu ndio maana uliamini na kushabikia hadi kufikia kutoa matusi, ukiamini kwamba watu 8 wapelelezi wa kitz wanaweza kuongozana mchana kwenda kwenye kiwanda cha nukes kupeleleza wameongozana kama kumbikumbi. ushamba unakusumbua pusi we.
 

Hivi ile taarifa niliileta Mimi au niliinukuu kutoka Gazeti la The CITIZEN ambalo lipo hapo juu? YOU'RE MORE THAN STUPID IN THIS WORLD.
 
Hivi ile taarifa niliileta Mimi au niliinukuu kutoka Gazeti la The CITIZEN ambalo lipo hapo juu? YOU'RE MORE THAN STUPID IN THIS WORLD.
usiruke, umeshabikia sana na hiyo ndio akili yenu watu kama wewe. hamna akili na mnajifanya kujua vitu. kwa akili yako uliamini watu 8 wanaweza kufanya upelelezi kwa namna ile na ukafafanua sana vile unavyofikiri unajua. kumbe mbumbumbu bora hata kuku anaweza kuwa na akili kuliko wewe. watu kama wewe hamfai kuwepo kwenye jf.
 

Watu ambao Mimba zenu zilipatikana Chooni na bahati mbaya sana mkazaliwa karibu na mlango wa Chooni huwa mna taabu sana katika Jamii kwani yawezekana hata akili na fikra zenu zimejaa Kinyesi kutokana na Historia ya uzao Wenu huo.
 
Ni uzembe wa kiwango cha lami wamekaa ki ccm ccm tu mpaka wanakosa umakini na kazi upelelezi wao ni kwaajili ya watanzania tu nje ya hapo kazi hawana mpaka mkamatwe nane kuna mpelelezi apo kweli au ndo wapelelezi wa kuteuliwa?
 
Watu ambao Mimba zenu zilipatikana Chooni na bahati mbaya sana mkazaliwa karibu na mlango wa Chooni huwa mna taabu sana katika Jamii kwani yawezekana hata akili na fikra zenu zimejaa Kinyesi kutokana na Historia ya uzao Wenu huo.
kwa comment zako zote, no doubt wewe ushafumuliwa marinda. katafute pampasi si ajabu unanuka kinyeshi dume zima unatommbwa.
 
Sidhani kama inavyo aminishwa na watu kwamba ni wale majasusi wabobezi wa kazi.Kama ni kweli kuna watz wamekamatwa wakifanya ujasusi Malawi basi nafikiri ni wale vijana wetu wa SUUK walikua field.
Acha kukengeuka
Kwahiyo Malawi wamekurupuka tu Mkuu? Ila kwa mfano ingekuwa Rwanda labda ndiyo ingekuwa kweli Mkuu au? Nasubiri jibu lako kwani yaonekana Wewe ni Mbobezi.
 
Nadhani imefahamika kwamba si majasusi bali ni wafanyakazi wa kampuni ya Chartis inayomilikiwa na kanisa katoliki na walienda kama sehemu ya matembezi ila hawakufuata taratibu za kutembelea nchi isiyo yako
 
Kivipi mkuu??

Ujasusi ni uwezo wa kutafuta, kukusanya na kupata taarifa, uelewa au elimu ikiwa ni pamoja na uwezo wa kufikiri, kujielewa, utundu na kuvitumia vyote hivyo katika kutatua matatizo yanayomzunguka mhusika.

😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…