Majembe mapya ya Simba FC

Mimi ni Simba damu, naomba kujua timu walizotoka hao 'mapro' wengine. Isijekuwa tumeletewa wauza machungwa wa Harare ,Abidjan nk
 
Mimi ni Simba damu, naomba kujua timu walizotoka hao 'mapro' wengine. Isijekuwa tumeletewa wauza machungwa wa Harare ,Abidjan nk
1. Vincent De Paul
Angban tulikuwa naye

2. Juuko Murushid- tulikuwa naye
3. Janvier Besala Bokungu- Motemapembe Drc
4. Justice Majabvi- huyu tulikuwa naye tunamjua
5. Mussa Ndusha- Zimbambwe
6. Laudit Mavugo – Vital’O
(Burundi)
7. Blagnon Goue Frederic:
Africa Sports (Ivory
Coast)
8. Mwajari -
 
Hawa wakina Hans Pope wanatutania sana . Pro wakueleweka hapo hawazidi watatu.
 
1. watatu tulikuwa nao tayari na tunawakubali ndiyo maana tukawabakiza je hunaimani nao au hao watano wapya ndiyo hnaimani nao...
Nina imani na uwezo wa Majabvi,Angban,Murushid na Mavugo kwa sababu nimewaona. Ila nashangaa tunaletewa wachezaji wengine hata timu walizotoka hazieleweki.
Kama hao ambao hata wewe haufahamu timu walizotoka.
 
Imani yangu ni kwakuwa wamekaa nao kwa takribani mwezi mzima ukizingatia presha waliyonayokutoka kwa wanachama na mashabiki..halafu ukiangalia timu yetu haikuwa mbaya sana msimu uliopita hivyo basi ukiangalia wazawa na mapro tulioongeza na makocha tulio nao halafu matatizo ya pesa kwa wachezaji yakatatuliwa ninaimani tutatoboa...
 
hiyo list siikubali umepika.Inakuwaje mapro wawe 9 wakati kanuni zinasema mapro 7?

Halafu huyo Kimenya na Kabunda wamesajiliwa lini? acheni kudanganya leteni kikosi kamili lakini sahihi
 
Mgosi amepekekwa mkopo wapi? Sijaona jina lake pia mbona idadi inazidi 30?
 
hiyo list siikubali umepika.Inakuwaje mapro wawe 9 wakati kanuni zinasema mapro 7?

Halafu huyo Kimenya na Kabunda wamesajiliwa lini? acheni kudanganya leteni kikosi kamili lakini sahihi
Bado sijapata ya mwisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…