Majembe mawili yanayokaribia kutua Yanga

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Kimya kimya hizi ni taarifa nilizopenyezewa kutoka ndani ya Yanga,
Hawa ni wachezaji wawili ambao yanga iko kwenye mkakati wa chini
chini wa kuwasajili, Ni Martin Antwi na Amos Frimpong wote kutoka
Ghana.
afv2ylk8ws_fri.jpg

Martin-Antwi-scored-for-WAFA.jpg

Kila la heri Yanga na mufanikiwe kunasa vifaa hivi vipya kutoka nje.
 
Vikizeeka tunauza kwa jirani yetu anayesajili maveterani
Mnauza au wanakimbia ukata? Chirwa, Ngoma, Niyonzima wote hao kwa vipindi tofauti wamewahi kufanya mgomo wa kucheza kwa sababu ya kutolipwa miezi minne. Niyonzima hajauzwa ila amegoma kusaini tena.
 
Tunayangoja yatusaidie kutwaa ubingwa wa africa
Yanga kutwa ubingwa Afrika mpaka kizazi chako kiishe, Hata Simba hawawezi kwa mpango huu, kutegemea misaada, hizo ni ndoto. Tutabaki kucheza mpira wetu wa kujifurahisha tu, yanga kusajili mchezaji anaechezea Simba yanga furahaaa. Simba kuchukua mchezaji Yanga simba kichekoo, Yanga kumfunga Simba na Yanga kumfunga Yanga, Tukitoka kimataifa tunashinda mechi ya kwanza na Comoro, yapili kipigo nje.
 
Mbona unatokwa povu hivi ? Una matatizo gani ? Au ndo hasira za matatizo wanayopitia viongozi wa mbumbumbu fc?
 
Kama povu limekuumiza unaruhusiwa kufa, Sasa sikiliza chura, hawa viongozi tunasikitika kwa sababu hakuna anae Muombea mwenzie yamkute matatizo, hata yule malinzi wenu simuombee. Ila kama hizi tuhuma kama za kweli Simba kama Clab ni faida serikali itakua imesaidia kutuondolea viongozi, walioshindwa, Yanga mlitakiwa hawa jamaa muwaombee waendelee kuwepo pale, udhifu wao umesaidia sana, sasa jua MO anafasi kubwa zaidi, Kilio kinawakaribia huko.
 
Muda mtaupata wapi kumfuatilia Niyonzima? Wakati viongozi wenu wote wapo segerea wananyea ndoo?
 
Back
Top Bottom