Majirani watabidi wabadilishe jina waitwe Tanzania Stars.Vikizeeka tunauza kwa jirani yetu anayesajili maveterani
Mnauza au wanakimbia ukata? Chirwa, Ngoma, Niyonzima wote hao kwa vipindi tofauti wamewahi kufanya mgomo wa kucheza kwa sababu ya kutolipwa miezi minne. Niyonzima hajauzwa ila amegoma kusaini tena.Vikizeeka tunauza kwa jirani yetu anayesajili maveterani
Ndio huyo huyo anakuja kupigwa msasa baadae aende Monaco kama Nonda.Frimpong aliyechemka arsenal au?
Shikam boo jazzzMajirani watabidi wabadilishe jina waitwe Tanzania Stars.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
kama tambweVikizeeka tunauza kwa jirani yetu anayesajili maveterani
Yanga kutwa ubingwa Afrika mpaka kizazi chako kiishe, Hata Simba hawawezi kwa mpango huu, kutegemea misaada, hizo ni ndoto. Tutabaki kucheza mpira wetu wa kujifurahisha tu, yanga kusajili mchezaji anaechezea Simba yanga furahaaa. Simba kuchukua mchezaji Yanga simba kichekoo, Yanga kumfunga Simba na Yanga kumfunga Yanga, Tukitoka kimataifa tunashinda mechi ya kwanza na Comoro, yapili kipigo nje.Tunayangoja yatusaidie kutwaa ubingwa wa africa
Yanga inajipanga kutwaa ubingwa wa Africa kwa taarifa yako, matopeni wanajipanga kutwaa ubingwa wa vpl maana kitambo wanaambulia patupuYanga kutwa ubingwa Afrika maviii.
Mbona unatokwa povu hivi ? Una matatizo gani ? Au ndo hasira za matatizo wanayopitia viongozi wa mbumbumbu fc?Yanga kutwa ubingwa Afrika mpaka kizazi chako kiishe, Hata Simba hawawezi kwa mpango huu, kutegemea misaada, hizo ni ndoto. Tutabaki kucheza mpira wetu wa kujifurahisha tu, yanga kusajili mchezaji anaechezea Simba yanga furahaaa. Simba kuchukua mchezaji Yanga simba kichekoo, Yanga kumfunga Simba na Yanga kumfunga Yanga, Tukitoka kimataifa tunashinda mechi ya kwanza na Comoro, yapili kipigo nje.
Kweli kabisa ukizingatia malinzi yupo lupango ina hatari ya kushuka darajaYanga itakuwa hatari sana msimu ujao.
Tambwe, yondani, kanavaro, bartez haaa shikamoo jazzkama tambwe
Bahati mbaya timu zote hazitoki comoro!Yanga inajipanga kutwaa ubingwa wa Africa kwa taarifa yako, matopeni wanajipanga kutwaa ubingwa wa vpl maana kitambo wanaambulia patupu
Hivi unajua kuwa malinzi yuko lockup?? Hii mbaya sana kwa yanga mkuu!Mbona unatokwa povu hivi ? Una matatizo gani ? Au ndo hasira za matatizo wanayopitia viongozi wa mbumbumbu fc?
Kama povu limekuumiza unaruhusiwa kufa, Sasa sikiliza chura, hawa viongozi tunasikitika kwa sababu hakuna anae Muombea mwenzie yamkute matatizo, hata yule malinzi wenu simuombee. Ila kama hizi tuhuma kama za kweli Simba kama Clab ni faida serikali itakua imesaidia kutuondolea viongozi, walioshindwa, Yanga mlitakiwa hawa jamaa muwaombee waendelee kuwepo pale, udhifu wao umesaidia sana, sasa jua MO anafasi kubwa zaidi, Kilio kinawakaribia huko.Mbona unatokwa povu hivi ? Una matatizo gani ? Au ndo hasira za matatizo wanayopitia viongozi wa mbumbumbu fc?
Muda mtaupata wapi kumfuatilia Niyonzima? Wakati viongozi wenu wote wapo segerea wananyea ndoo?Kama povu limekuumiza unaruhusiwa kufa, Sasa sikiliza chura, hawa viongozi tunasikitika kwa sababu hakuna anae Muombea mwenzie yamkute matatizo, hata yule malinzi wenu simuombee. Ila kama hizi tuhuma kama za kweli Simba kama Clab ni faida serikali itakua imesaidia kutuondolea viongozi, walioshindwa, Yanga mlitakiwa hawa jamaa muwaombee waendelee kuwepo pale, udhifu wao umesaidia sana, sasa jua MO anafasi kubwa zaidi, Kilio kinawakaribia huko.