Majembe mawili yanayokaribia kutua Yanga

Watanzania bwana.....sijuwi kwanini wanakuwa wepesi sana kusahau matukio. Hivi, hii si ni Yanga ile ile ya toka mwaka 1920? Hii timu hata uwape Mourinho au Guardiola haifiki popote pale katika mashindano ya kimataifa, imelaaniwa.
 
Muda mtaupata wapi kumfuatilia Niyonzima? Wakati viongozi wenu wote wapo segerea wananyea ndoo?
Mimi ni kiongozi, mimi ni Kiongozi, Simba mashabiki wake wanajielewa, hatuwezi kwenda polisi wakati huna msaada wowote, kama nyie mlivyo fanya mkaishia kuosha gari tu. Ivi kweli Manji kipindi kile alikua na shida ya kuoshewa gari, au ndiyo mlikua mnakejeri yeye yupo mahabusu nyie mnaosha gari au ni akili za chawa.
 
Jipe matumaini wametoka Ghana ndo yanga itakuwa hatari,akili zenu yanga kama kiporo cha boga bariiiidi
Wanajipa moyo kweli, hawajui Ghana njia panda ya ulaya, alafu mchezaji mzuri atoke kule aje huku, hao ni wachezaji wa viwango vya kawaida.
 
Huu ndio msimu wa yanga kutangazwa bingwa mapema
Bingwa dArajala kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…