rayman m Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 120 Reaction score 27 Oct 31, 2012 #1 Nikwanzia asubuhi tupo HESLB kufuatilia issue ya 2nd year waliokosa mkopo mwaka jana, issue ni hot watu wana munkali board wanadai wametuma majina chuon but for further clarification tunawataka watoe hard copy tuondoke nayo.
Nikwanzia asubuhi tupo HESLB kufuatilia issue ya 2nd year waliokosa mkopo mwaka jana, issue ni hot watu wana munkali board wanadai wametuma majina chuon but for further clarification tunawataka watoe hard copy tuondoke nayo.
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Nov 1, 2012 #2 aisee! Dvc alikuwa ni kambarage, huyu wa sasa ni kimeo tu. Poleni sana.
rayman m Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 120 Reaction score 27 Nov 1, 2012 Thread starter #3 Mzee said: aisee! Dvc alikuwa ni kambarage, huyu wa sasa ni kimeo tu. Poleni sana. Click to expand... asante bro! Da jana wametuchezea rafu wametupia kanyaboya kwenye web ya chuo na yuda wetu ni afisa mikopo sua!!!!
Mzee said: aisee! Dvc alikuwa ni kambarage, huyu wa sasa ni kimeo tu. Poleni sana. Click to expand... asante bro! Da jana wametuchezea rafu wametupia kanyaboya kwenye web ya chuo na yuda wetu ni afisa mikopo sua!!!!
Bwaksi Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 125 Reaction score 4 Nov 1, 2012 #4 rayman m said: asante bro! Da jana wametuchezea rafu wametupia kanyaboya kwenye web ya chuo na yuda wetu ni afisa mikopo sua!!!! Click to expand... Komaeni jamani. Mi ni ex-SUA, wa enzi zile. Ni mpenda kudai haki maarufu hata marehemu baba yangu alikua ananipa BIG UP kwa hilo.
rayman m said: asante bro! Da jana wametuchezea rafu wametupia kanyaboya kwenye web ya chuo na yuda wetu ni afisa mikopo sua!!!! Click to expand... Komaeni jamani. Mi ni ex-SUA, wa enzi zile. Ni mpenda kudai haki maarufu hata marehemu baba yangu alikua ananipa BIG UP kwa hilo.
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 757 Nov 2, 2012 #5 huyu jamaa wa mikopo na dvc prof. gilla ni wakuda sana yaani mpaka nataman kunji
Y yaasary Senior Member Joined Mar 26, 2011 Posts 110 Reaction score 59 Nov 2, 2012 #6 polen sana wakuu
Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 132 Nov 4, 2012 #7 hamjapata jibu bado?