majembe SUA yakomaa na LOAN BOARD.

majembe SUA yakomaa na LOAN BOARD.

rayman m

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
120
Reaction score
27
Nikwanzia asubuhi tupo HESLB kufuatilia issue ya 2nd year waliokosa mkopo mwaka jana, issue ni hot watu wana munkali board wanadai wametuma majina chuon but for further clarification tunawataka watoe hard copy tuondoke nayo.
 
aisee! Dvc alikuwa ni kambarage, huyu wa sasa ni kimeo tu. Poleni sana.
 
aisee! Dvc alikuwa ni kambarage, huyu wa sasa ni kimeo tu. Poleni sana.

asante bro! Da jana wametuchezea rafu wametupia kanyaboya kwenye web ya chuo na yuda wetu ni afisa mikopo sua!!!!
 
asante bro! Da jana wametuchezea rafu wametupia kanyaboya kwenye web ya chuo na yuda wetu ni afisa mikopo sua!!!!

Komaeni jamani. Mi ni ex-SUA, wa enzi zile. Ni mpenda kudai haki maarufu hata marehemu baba yangu alikua ananipa BIG UP kwa hilo.
 
huyu jamaa wa mikopo na dvc prof. gilla ni wakuda sana yaani mpaka nataman kunji
 
Back
Top Bottom