mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Mwaka jana (2022) kulikuwa na tatizo kubwa la umeme nchini ambapo mgao wa umeme ulishamiri. Baadhi yetu tulijua kwamba tatizo hilo lilitokana na ukame mkubwa uliokuwa umeikumba nchi yetu.
Lakini wakati huo huo kulikuwa na wazandiki waliokuwa wakisema kuwa umeme unazimwa kwa makusudi ili viongozi fulani walioagiza majenereta wapate muda wa kuyauza!
Kwa kuwa sasa hali ya umeme imerudi kama kawaida swali langu kwa wazandiki hao ni je, hayo majenereta yaloyoagizwa yamekwisha kuuzwa yote?