Ebu tuoneshe la kwako lenye mvuto. Ndio tuendelee kukomentiSijapata bahat ya kutoka nchi za watu,inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja,ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiyangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia,unaona majengo yalivyojengwa kisanaa hadi raha.
Nenda kariakoo,Ilala na kwingineko uone watu wanajenga maghorofa ila hayavutii kabisa na ndio maana jiji letu linaonekana la kawaida
Aesthetics bado ni muhimu sana kwenye architecture.Kwa uchumi tuliopo ni sensible kwa watu ku-prioritise function over fashion.
Muda huohuo serikali izindua jengo kali , raia wanalalamika, nchi ngumu sana hii wakuuAesthetics bado ni muhimu sana kwenye architecture.
Pesa ambazo serikali hutumia kwenye kujenga majengo yake wanaweza kujenga majengo ya kupendeza.
Ikizindua jengo kali ambalo ni shule, chuo, soko au hospital hakuna raia atakayelalamika.Muda huohuo serikali izindua jengo kali , raia wanalalamika, nchi ngumu sana hii wakuu
Hayavutii na sio imara pia.Bora yasivutie ila yawe imara sio jengo linadondoka halijaisha.
Hili ni janga.Hayavutii na sio imara pia.
Spacing na mafence ndo tatizo kubwa kwenye ujenzi wa bongo majengo karibia yote hayana mvutoSijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo yalivyojengwa kisanaa hadi raha.
Nenda kariakoo, Ilala na kwingineko uone watu wanajenga maghorofa ila hayavutii kabisa na ndio maana jiji letu linaonekana la kawaida
Mkuu hilo hata usiseme,bodaboda sasa mpaka unajiuliza sisi tatizo ni nini??SIASADar ni mahali pachafu, hata majengo yawe mazuri vipi lakini mazingira ni machafu kishenzi...
Kariakoo kila mahali watu wametandaza vitu, kwa sasa hadi barabara ya Msimbazi imejaa watu wamemwaga bidhaa kwenye lami...