Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo yalivyojengwa kisanaa hadi raha.
Nenda kariakoo, Ilala na kwingineko uone watu wanajenga maghorofa ila hayavutii kabisa na ndio maana jiji letu linaonekana la kawaida