HOJA Majengo na Maghorofa chakavu yaliyopo katikati ya Jiji la Dar es salaam yapakwe rangi yanatia aibu

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja ...

Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .

Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa sehemu zenye mahoteli makubwa bado Kuna majengo chakavu inaleta taswira mbaya kwa wageni . Kuna kipindi mkuu wa mkoa Dar alitoa amri na kuwapa deadline walimiki wa majengo wapake rangi majengo yao chakavu ila mpaka sasa hali bado.

Hii picha ni karibu kabisa na Hotel ya Hyatt regency kwenye duara ni jengo chakavu ambalo halina hadhi ya kukaa karibu na maeneo hayo. 👇👇👇

IMG_20260708_172954.jpg

Sehemu nyingine hiyo ni town kabisa hapo

IMG_20260708_173201.jpg

Kwengine hapo

IMG_20260708_173034.jpg

IMG_20260708_173056.jpg

Hizo ni sehemu chache kati ya nyingi ndani ya Dar es salaam

#UziTayari
 
Tatizo kodi kubwa zimepelekea watu kushindwa kununua mahitaji ya kufanya ukarabati nyumba zao
 
Moja kwa moja ...

Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .

Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa sehemu zenye mahoteli makubwa bado Kuna majengo chakavu inaleta taswira mbaya kwa wageni . Kuna kipindi mkuu wa mkoa Dar alitoa amri na kuwapa deadline walimiki wa majengo wapake rangi majengo yao chakavu ila mpaka sasa hali bado.

Hii picha ni karibu kabisa na Hotel ya Hyatt regency kwenye duara ni jengo chakavu ambalo halina hadhi ya kukaa karibu na maeneo hayo. 👇👇👇

View attachment 3625154

Sehemu nyingine hiyo ni town kabisa hapo

View attachment 3625157

Kwengine hapo

View attachment 3625156

View attachment 3625159

Hizo ni sehemu chache kati ya nyingi ndani ya Dar es salaam

#UziTayari
Hakuna hela za kuwalipa mapainta
 
Kuna siku nilikuwa na mgeni wangu ni foreigner tunapita pita mjini kati akaanza kuniambia hii nchi inaonyesha inatabia za kikomunisti sana.. nikamuuliza kwanini akasema aina ya majengo mengi hapa hasa yaliyochakaa ni ramani za nchi za kijamaa eeeh nikabaki nashangaa isee.

Nikamwambia unajuaje akasema ukiona majengo ya maghorofa mengi ya kama yale ya michezani kwa ajili ya community yana konopi mbele ujue hiyo ni alama kuwa nchi ya kijamaa hizo ni ramani za kutoka nchi za kikomunist..
 
Moja kwa moja ...

Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .

Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa sehemu zenye mahoteli makubwa bado Kuna majengo chakavu inaleta taswira mbaya kwa wageni . Kuna kipindi mkuu wa mkoa Dar alitoa amri na kuwapa deadline walimiki wa majengo wapake rangi majengo yao chakavu ila mpaka sasa hali bado.

Hii picha ni karibu kabisa na Hotel ya Hyatt regency kwenye duara ni jengo chakavu ambalo halina hadhi ya kukaa karibu na maeneo hayo. 👇👇👇

View attachment 3625154

Sehemu nyingine hiyo ni town kabisa hapo

View attachment 3625157

Kwengine hapo

View attachment 3625156

View attachment 3625159

Hizo ni sehemu chache kati ya nyingi ndani ya Dar es salaam

#UziTayari
Wamezoea kupiga pesa, Hizo nyumba kama walishindwa kuzifanyia matengenezo wangewarudishia wenyewe tu. Wale wahindi walionyang'anywa enzi za ujamaa. Huo uonevu unatafuna nchi yetu. Watu wanaojitahidi wananyang'anywa mali zao. Kuna mhindi wa iliyokuwa Moshi hotel, kajitahidi kujenga hotel yake, waswahili wezi enzi za Nyerere wakaichukua kwa nguvu, Yule Mhindi akajirusha toka ghorofa ya tatu hadi chini. Familia yake ilienda Canada, Leo kila kitu tulichochukua kwa nguvu kutoka kwa raia waliojitahidi hakifanikiwi. Nyumba za msajili wa majumba zimejichokea ile mbaya, hakuna matengenezo, Train tuliyoachiwa na mjerumani, leo haifai......Hakuna matengenezo, imebakia kuibwa vyuma chakavu, TAZARA ndiyo haitamaniki na haifai....Uongozi mbovu na wizi umetamalaki, Viwanda vyote vimeshakufa, Fibre boards gone, General Tyres, Kilimanjaro tools, Mutex, Kiltex, Mwatex, Zana za KILIMO etc etc. Nenda vyuo vikuu vyetu uone vilivyo chakavu, Barabara zimejaa mashimo karibu zote....hakuna zenye unafuu, huduma za afya zimekuwa za ovyo, hakuna kinachofanyika, Tunashindwa na Kenya hata kwa barabara (Wao wameweka lami barabara nyingi, karibu zote na wana express way) Hapa kwetu wanaume wazima na MAPUMB& yao wapo wanamsifia mama ameupiga mwingi, hivi hii nchi ina watu wenye akili kweli au ni laana? Tulimuona Kabudi Palamagamba (Professor wa Majalalani), kabla hajaonja asali alikuwa ana akili.....Leo akili zimeruka kabisa (360 DEGREE TURN), Waangalie akina Polepole, Bashiru, Katambi, Mkumbo. Hivi hawa binadamu wana akili kweli? Na nyie watanganyika wapumbavu endeleeni kuwapa moyo ili waendelee kuiba. It is shame to be born black......Sorry to say.......Yaani watu wapo greedy, wengine wanawatetea hao wanaowaibia. Samia na mtoto wake Abdul, kila siku wanaiba mabilioni ya Shilingi, hadi sasa wameshachukua zaidi ya Matrilioni.......Huku hospital hazina dawa, shule za serikali hazina madawati (Bado wanachangishwa michango ya ajabu), Kila mahali ni shida......Watu wanakufa kwa magonjwa madogo madogo......Hivi ni kweli Samia na familia yake, Kikwete na hao wengine wanahitaji mamia ya matrillioni?
 
Back
Top Bottom