AiseeTatizo kodi kubwa zimepelekea watu kushindwa kununua mahitaji ya kufanya ukarabati nyumba zao
Hakuna hela za kuwalipa mapaintaMoja kwa moja ...
Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .
Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa sehemu zenye mahoteli makubwa bado Kuna majengo chakavu inaleta taswira mbaya kwa wageni . Kuna kipindi mkuu wa mkoa Dar alitoa amri na kuwapa deadline walimiki wa majengo wapake rangi majengo yao chakavu ila mpaka sasa hali bado.
Hii picha ni karibu kabisa na Hotel ya Hyatt regency kwenye duara ni jengo chakavu ambalo halina hadhi ya kukaa karibu na maeneo hayo. πππ
View attachment 3625154
Sehemu nyingine hiyo ni town kabisa hapo
View attachment 3625157
Kwengine hapo
View attachment 3625156
View attachment 3625159
Hizo ni sehemu chache kati ya nyingi ndani ya Dar es salaam
#UziTayari
Kuna siku nilikuwa na mgeni wangu ni foreigner tunapita pita mjini kati akaanza kuniambia hii nchi inaonyesha inatabia za kikomunisti sana.. nikamuuliza kwanini akasema aina ya majengo mengi hapa hasa yaliyochakaa ni ramani za nchi za kijamaa eeeh nikabaki nashangaa isee.Moja kwa moja ...
Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .
Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa sehemu zenye mahoteli makubwa bado Kuna majengo chakavu inaleta taswira mbaya kwa wageni . Kuna kipindi mkuu wa mkoa Dar alitoa amri na kuwapa deadline walimiki wa majengo wapake rangi majengo yao chakavu ila mpaka sasa hali bado.
Hii picha ni karibu kabisa na Hotel ya Hyatt regency kwenye duara ni jengo chakavu ambalo halina hadhi ya kukaa karibu na maeneo hayo. πππ
View attachment 3625154
Sehemu nyingine hiyo ni town kabisa hapo
View attachment 3625157
Kwengine hapo
View attachment 3625156
View attachment 3625159
Hizo ni sehemu chache kati ya nyingi ndani ya Dar es salaam
#UziTayari
Wamezoea kupiga pesa, Hizo nyumba kama walishindwa kuzifanyia matengenezo wangewarudishia wenyewe tu. Wale wahindi walionyang'anywa enzi za ujamaa. Huo uonevu unatafuna nchi yetu. Watu wanaojitahidi wananyang'anywa mali zao. Kuna mhindi wa iliyokuwa Moshi hotel, kajitahidi kujenga hotel yake, waswahili wezi enzi za Nyerere wakaichukua kwa nguvu, Yule Mhindi akajirusha toka ghorofa ya tatu hadi chini. Familia yake ilienda Canada, Leo kila kitu tulichochukua kwa nguvu kutoka kwa raia waliojitahidi hakifanikiwi. Nyumba za msajili wa majumba zimejichokea ile mbaya, hakuna matengenezo, Train tuliyoachiwa na mjerumani, leo haifai......Hakuna matengenezo, imebakia kuibwa vyuma chakavu, TAZARA ndiyo haitamaniki na haifai....Uongozi mbovu na wizi umetamalaki, Viwanda vyote vimeshakufa, Fibre boards gone, General Tyres, Kilimanjaro tools, Mutex, Kiltex, Mwatex, Zana za KILIMO etc etc. Nenda vyuo vikuu vyetu uone vilivyo chakavu, Barabara zimejaa mashimo karibu zote....hakuna zenye unafuu, huduma za afya zimekuwa za ovyo, hakuna kinachofanyika, Tunashindwa na Kenya hata kwa barabara (Wao wameweka lami barabara nyingi, karibu zote na wana express way) Hapa kwetu wanaume wazima na MAPUMB& yao wapo wanamsifia mama ameupiga mwingi, hivi hii nchi ina watu wenye akili kweli au ni laana? Tulimuona Kabudi Palamagamba (Professor wa Majalalani), kabla hajaonja asali alikuwa ana akili.....Leo akili zimeruka kabisa (360 DEGREE TURN), Waangalie akina Polepole, Bashiru, Katambi, Mkumbo. Hivi hawa binadamu wana akili kweli? Na nyie watanganyika wapumbavu endeleeni kuwapa moyo ili waendelee kuiba. It is shame to be born black......Sorry to say.......Yaani watu wapo greedy, wengine wanawatetea hao wanaowaibia. Samia na mtoto wake Abdul, kila siku wanaiba mabilioni ya Shilingi, hadi sasa wameshachukua zaidi ya Matrilioni.......Huku hospital hazina dawa, shule za serikali hazina madawati (Bado wanachangishwa michango ya ajabu), Kila mahali ni shida......Watu wanakufa kwa magonjwa madogo madogo......Hivi ni kweli Samia na familia yake, Kikwete na hao wengine wanahitaji mamia ya matrillioni?Moja kwa moja ...
Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .
Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa sehemu zenye mahoteli makubwa bado Kuna majengo chakavu inaleta taswira mbaya kwa wageni . Kuna kipindi mkuu wa mkoa Dar alitoa amri na kuwapa deadline walimiki wa majengo wapake rangi majengo yao chakavu ila mpaka sasa hali bado.
Hii picha ni karibu kabisa na Hotel ya Hyatt regency kwenye duara ni jengo chakavu ambalo halina hadhi ya kukaa karibu na maeneo hayo. πππ
View attachment 3625154
Sehemu nyingine hiyo ni town kabisa hapo
View attachment 3625157
Kwengine hapo
View attachment 3625156
View attachment 3625159
Hizo ni sehemu chache kati ya nyingi ndani ya Dar es salaam
#UziTayari
Hela zipo za kuwalipa vyawa tu, ila za ukarabati hakunaItabidi uzoee tu mkuu, ikulu yenyewe mejichokea ukuta umezingushiwa mabati unategemea nini?