Majeruhi wa Mapenzi- Ready for Review== Order your Copy Today!

Majeruhi wa Mapenzi- Ready for Review== Order your Copy Today!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Majeruhi wa Mapenzi

By M. M. Mwanakijiji View this Author's Spotlight

Paperback, 212 Pages
star_zero.png
star_zero.png
star_zero.png
star_zero.png
star_zero.png
This item has not been rated yet

product_thumbnail.php
Preview

List Price: $16.99
Price: $13.59
You Save: $3.40 ( 20% )

Ships in 3-5 business days

When Erica Tossi is betrayed by the two people she loved most her whole world is turned upside down. She creates a new world where she reigns Queen of misery. She start picking her victims carefully and methodically and bring them to the point of desperation and total surrender to her. As the number of victims amount Erica becomes colder and colder until she meets Dr. Shedrack. Shedrack a charming talk show host in Dar-es-Saalam Tanzania had sworn before to never give his heart to another woman again. He was in a mission of his own. When their two worlds collide what is left is nothing but Majeruhi wa Mapenzi! Victim

TO ORDER YOUR COPY FOR REVIEW CLICK HERE

36565_10150803795621156_687191155_10165455_1669664774_n.jpg

NOTE:

Here is the link for those who have asked to review the book before final publishing. This link will be open until Monday. I would prefer for people to order express so that I can work on their concerns and make corrections before the final printing. Nimeweka nafasi ya kuorder siyo zaidi ya copy 10 - hasa ni copy kama tano tu kwa ajili ya review.

Of course ONLY positive review zaweza kuingia kwenye final print!!!
 
Mzee mwanakijiji mbona katika jina langu la uhusika umesahau kuweka 'ot' kati ya Erica?

Story kuhusu mimi haiwezi kuwa mbaya wala boring, am telling u hiki kitabu kitauza ile mbaya.
 
Mzee mwanakijiji mbona katika jina langu la uhusika umesahau kuweka 'ot' kati ya Erica?

Story kuhusu mimi haiwezi kuwa mbaya wala boring, am telling u hiki kitabu kitauza ile mbaya.

sasa si unajua wasije watu kuniwakia - ooh mbona umemuandika Erotica wangu? nitajibuje mimi...?
 
Sijakisoma, sitakisoma wala kutazama review kwani nna uhakika: Udaku, unaaa, ufataani na majungu ndio uliojazana humo. Analysis yangu inatokana na maandiko yako ndani ya JF.
 
sasa si unajua wasije watu kuniwakia - ooh mbona umemuandika Erotica wangu? nitajibuje mimi...?


teh teh teh. naona busara zako kama kawa zimetumika katika maamuzi.

naheshimu maamuzi yako sababu hata hivo ningewangonganisha wote kuja lalama kwako :embarassed2: itakua soo.
 
Sijakisoma, sitakisoma wala kutazama review kwani nna uhakika: Udaku, unaaa, ufataani na majungu ndio uliojazana humo. Analysis yangu inatokana na maandiko yako ndani ya JF.

wow.. yaani nimekosa kweli mawazo yako na mchango wako kuhusiana na kitabu hiki. Laiti ungechukua muda kukisoma kidogo ingesaidia kweli. Maskini mimi kwa kukosa mawazo ya kujenga ya Ribosome. Well, nifanye nini sasa? Ila angalau hukushindwa kujizuia kutoa mawazo yako ya kutotaka kutoa mawazo yako!
 
Hizo kurasa kwenye review ni chache mno kuweza kutathmini na kuwa na haja ya kuendele kusoma na kisha kushawishika kununua. Ungeongeza kurasa zaidi.
 
Well done mkuu na hongera zako sana kwa kujifikirisha na kuandaa kitu ambacho wavivu wa akili hushindwa kufanya na kuishia kurusha maneno yasiyo na maana.

"Keep away from small people who try to belittle your ambitions. Small people
always do that, but the really great make you feel that you too can become
great." - Mark Twain

wenye akili na kujali mafanikio ya wengine pale wanapofanya kitu chema watapitia na watakupa ushauri pale panapohitajika, wenye majungu wataendelea kuponda. Siku zote wapingaji wapo tu, hawajaanza leo wala jana bali tokea enzi za Manabii.
 
Asante mkuu, mi nimesha nunua copy yangu, nasubiri delivery.
Posta ya Ushongo inasema kuna barua itafika in 3 opening days.
Erotica, wasubiri nini kununua copy yako? CUTE, nakusalim...

Mwali how can I buy my self? Mimi Mzee Mwanakijiji kaniwekea copy ile ya kwanza

kuwa printed ndio cha kwangu. Kumbuka jina langu ndio litauza kitabu. Erica ni aka ya Erotica.
 
Last edited by a moderator:
Hizo kurasa kwenye review ni chache mno kuweza kutathmini na kuwa na haja ya kuendele kusoma na kisha kushawishika kununua. Ungeongeza kurasa zaidi.
hahaha; don't worry nitaweka hapa the first three chapters...
 
Back
Top Bottom