Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wazee wenzangu wa kubet kuna majeshi yanapewaga odds nzuri halafu yanatembeza vichapo balaa sema wadau hawajayashtukia. Embu tutililike nayo leo. Mimi naanza na union berlin ya bundersliga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanashinda deile na mara zote hawanaga odds kubwa. Ni 1.1 ikizidi sana 1.2. Me naongelea wale ambao huwa wanatoboa alafu wanapewa odds nzuri, mfano union berlin wa ujerumani, colocolo wa chile n.k