Majeshi ya Afrika kuna yalichojifunza kutoka kwa Jeshi la Israel (IDF) hasa kwa kushambulia maadui wa kila kona kwa pamoja?

Tulia ww kiazi sijakujibu ww! Nimemjibu huyo kiaz mwingine aliyesema Rwanda..
Halafu ww fala unamatambo mengi wakati nikisoma mada zako naona upo zero kichwani! Halaf unajiona unajuaaa kumbe tunakuangaliaga tu unavyoburuza vilaza wenzako! Kaa makini mm namba nyingine.
Unaonaje nikawaandalia pambano pale mkapa ,ili tujue nani number nyingine?

Wewe binafsi pamoja na kumshambulia mwenzio ,umejikweza tiyari ,number tata kwenye maisha hawanaga mda wa kujibizana , na ukikutana nao ni kama mafala hivi ,ila sasa cheza kwenye kumi nane zao.

Jf ni jukwaa huru heshimuni mawazo ya mtu , na kama post yake umeitafakari kivingine tokana na level yako pita kama hujaona mkuu , Duniani akuna kilaza hata mwenye changamoto ya afya ya akili yupo na mchango ambao katika hali ya kawaida huwezi tambua
 
Mzee kajionee hii habari nimethibitisha Israel anavyopiga kambi za wakimbizi,shule au hospital Hana makosa . Hata habari kuhusu kuuliwa kwa waandishi wa habari kwa kisingizio Cha ni miongoni mwa Hamas inaweza kuwa kweli hapa watumishi wa utoaji wa misaada kwa wapalestina kumbe nao ni magaidi.View attachment 3062776
Sawa wote hao magaidi nakubaliana na wewe unavyotaka
Sasa anashindwa nini kuimaliza hamas kwa mwaka sasa wakati alipiga mataifa ya kiarabu yote kwa siku sita tuu?
 
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
8. Israel ina jeshi la kisasa linalofadhiliwa na kusaidiwa kifedha, vifaa kutoka Marekani.
 
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Wewe ni kondoo kweli US mwenyewe kakiri ndio anawauwa hao Makomandoo afu Israel anajitapa yeye, mimi nakuambia Israel hana uwezo huo. VITA ya Gaza kasaidiwa na America, UK, France, India, Canada, Morocco, Saud Arabia, Egypt, Jordan, Baharain. UAE, Germany na mataifa mengine South Korea, Japan na mengi yamejificha .

We kao unaimba nyimbo za kanisani hallelujah, ule mti wa njia ya panda ya Damascus to Jerusalem kwa kweli kimvuli cha mti ule na shetani kilamlaza Paulo usingizi mnono, mpaa akamuona Shetani ndio Yesu 😄

We endelea kuota na hizo point zako za uwongo. Israel anasaidiwa kwenye intelligence na US na Westen. Jeshi lake wana watukana viongozi wao, afu unasema wanatii sheria, katazame bangi na unga na ulevi si bora hata gongo, katazame case za ushoga na kurape wanawake. Hivi we uko sawa akilini kwako? Kabla hujaleta ujinga na utumbo hu siungefanya research kuliko hizi aibu ulizo zileta humu.
 
🔥🔥🔥🔥
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1820686297083658320?t=KaM2IpX4fJWqAdLAHOg_kA&s=19
 
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Sikia nikwambie mzee, Israeli hamna kitu yule ni mchumba ambaye bila USA hatoboi ata dk 0 unakumbuka alivyopigwa direct na Iran na US alimwambia asijibu maana maajabu hana? Hamna jeshi mule wala majeshi ya afrika hakula lakunifunza pale.
Alafu si wamekiwasha tena wait ujue jamaa hawana kitu
 
No_4, nakubaliana mana UKRAINE wajeshi wake wanachelewesha matokeo dhidi ya urusi ,kwasababu vifaa vikifika lazima semina elekezi ifanyike
 
Majeshi ya Kiafrika kama yale yaliodanganywa na Tshisekedi kuwa M23 ni adui wa Kongo na yakaenda kichwa kichwa?😁
 
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Badala ya kuzingatia ushauri huu, kamanda mmoja wa ngazi za juu ametuma walipiganaji watano kumbaka na kumlawiti binti aliyemhisi anatembea na mumewe huyo kamanda. Walichukua video na kuzirusha kwenye mitandao ya kijamii. Hizo ni baadhi ya recent updates za majeshi ya pande za Africa!
 
Wewe ni kondoo kweli US mwenyewe kakiri ndio anawauwa hao Makomandoo afu Israel anajitapa yeye, mimi nakuambia Israel hana uwezo huo. VITA ya Gaza kasaidiwa na America, UK, France, India, Canada, Morocco, Saud Arabia, Egypt, Jordan, Baharain. UAE, Germany na mataifa mengine South Korea, Japan na mengi yamejificha .

We kao unaimba nyimbo za kanisani hallelujah, ule mti wa njia ya panda ya Damascus to Jerusalem kwa kweli kimvuli cha mti ule na shetani kilamlaza Paulo usingizi mnono, mpaa akamuona Shetani ndio Yesu 😄

We endelea kuota na hizo point zako za uwongo. Israel anasaidiwa kwenye intelligence na US na Westen. Jeshi lake wana watukana viongozi wao, afu unasema wanatii sheria, katazame bangi na unga na ulevi si bora hata gongo, katazame case za ushoga na kurape wanawake. Hivi we uko sawa akilini kwako? Kabla hujaleta ujinga na utumbo hu siungefanya research kuliko hizi aibu ulizo zileta humu.
Idiot, Rubbish and Nonsensical.
 
Idiot, Rubbish and Nonsensical.
Isreal ni uharo tu anaye uwa ni US au anawambia Israel kama wako karibu ndio wakapige, we baki Idiot, Rubbish and Nonsensical sababu akili zake hazina uwezo wa kutafakari. Tazama hio video ndio utafahamu ukweli.
 
Attachments

  • VID-20240805-WA0054.mp4
    12 MB
Ya muhimu....

1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3. Israel lina Jeshi ambalo Askari wake hawatiliwi Mashaka kama hawana Uraia kamili wa Israel
4. Israel lina Jeshi ambalo lina Vifaa vya Kisasa vinavyoweza kutumiwa na Askari wao wowote
5. Israel lina Jeshi ambalo Idara yake ya Ujasusi ni Imara inayoweza Kumsaka Adui popote hata Udongoni
6. Israel lina Jeshi ambalo lina Mitambo tosha ya Kiteknolojia na Makombora ya kila namna Kumkabili Adui
7. Israel lina Jeshi ambalo lina Maadili na huwakuti wakinywa Gongo au wakigombea Malaya katika Baa

Ninauliza tena je, Majeshi ya Afrika hasa lile moja fulani fulani nalo lina Ubavu kama huu wa Jeshi Kabambe la Israel?
Targeted assasination halafu unawatia jamba jamba raia wa nchi nzima sasa hivi watu wako kwenye shelter huu nao ni upumbavu wahedi na alichovuna nini sasa zaidi ya kusubiria kupigwa missile na wenzao wanajiandaa kwa vita sio kulipiza kisasi wanalipa na wanasubiria wakijitia mapunguani wanzibuliwa zaidi the geopolitics zimebadilika kabisa sio zile za mwaka 67.Yaani kule usa ambinye mrussi halafu mrussi asitumie huu mwanya kumbinya usa kupitia israel ngoja tuone power is power let them use it mercilessly.
 
Isreal ni uharo tu anaye uwa ni US au anawambia Israel kama wako karibu ndio wakapige, we baki Idiot, Rubbish and Nonsensical sababu akili zake hazina uwezo wa kutafakari. Tazama hio video ndio utafahamu ukweli.
Inaonekana muiran wanajiandaa sana against usa na bases zake na resource zake pale middle east na sio israel maana israel hizbullah wa lebanon tu hawawezi naona ndio maana wanatafuta uungwaji mkono na big players kama Russia will iran succedd kumtoa mmarekani middle east abakie kama sole regional power ????
 
Kila kitu kinawezekana ukiweka nia.
 
Rwanda is overrated! Nakwambia kambi ya monduli kama ingekuwa karibu na Rwanda ingetosha kabisa kuikamata Rwanda yote ndani ya siku 3.
hujaelewa alichoandika jamaa , hv panyaroad mpk kesho wapo vingunguti vp usalama wana kazi gan ?
 
Back
Top Bottom