kila mtu wa hamas akiuliwa israeli wanamwita mkuu wa hamas...ndo maana hii vita inawashindaHuyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia heshima jina la Haddad apelekwe kuzimu na lazima tuhakikishe kwamba anaunganishwa tena huko na maafisa wengine wakuu wa Hamas waliotuletea mauaji hayo. Mwoga huyu amejificha chini ya ardhi tangu mwanzo wa vita, lakini tutafika kwake pia! Mwisho wake umekaribia na itakuwa mbaya zaidi, Mungu akipenda!
Sio kila mtu bhana! Tangu Ijumaa wameuliwa watu 400+ Gaza unazani hakuna hamas waliouwawa? Ndo maana wakiuwa kiongozi wa hamas wa kitengo fulani wanatoa na picha.kila mtu wa hamas akiuliwa israeli wanamwita mkuu wa hamas...ndo maana hii vita inawashinda
Hatari sana unaweza kuta ni ndugu zakeHilo jina utafikiri jini! Duh!
Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia heshima jina la Haddad apelekwe kuzimu na lazima tuhakikishe kwamba anaunganishwa tena huko na maafisa wengine wakuu wa Hamas waliotuletea mauaji hayo. Mwoga huyu amejificha chini ya ardhi tangu mwanzo wa vita, lakini tutafika kwake pia! Mwisho wake umekaribia na itakuwa mbaya zaidi, Mungu akipenda!
Hilo jina utafikiri jini! Duh!
Wanamfunua komwe huko huko kama Anwaruzuri Israel Hana masihara kwenye kusaka magaidi. Soon utasikia wamemtoa huko shimoni.
Huwezi kujua labda ni jini....sini mwarabu halafu ni muislamHilo jina utafikiri jini! Duh!
Uzuri wanapouliwa hutambuliwa kwa majina na baada ya hapo ndipo hutambulika nafasi yao katika kikundi hicho cha kigaidi. Magaidi wa kawaida wanapouliwa hua haitangazwi.kila mtu wa hamas akiuliwa israeli wanamwita mkuu wa hamas...ndo maana hii vita inawashinda
Kwani wameanza kuwaua hamas leo? mbona wapo tu,wakitaka kuwa maliza hamas wawarudishie ardhi yao na vita itaisha siku hiyohiyoSio kila mtu bhana! Tangu Ijumaa wameuliwa watu 400+ Gaza unazani hakuna hamas waliouwawa? Ndo maana wakiuwa kiongozi wa hamas wa kitengo fulani wanatoa na picha.