Majeshi ya Israel yateka maeneo ya magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

Majeshi ya Israel yateka maeneo ya magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel.

Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko Tehran maana hawakupenda kipenzi chao kuchakazwa hivyo.
 
Attachments

  • 2359348543583240953.mp4
    16.6 MB
  • 4746839645175630104.mp4
    5.6 MB
Sema hizbollah sijui walikua wanajikuta kina nan vile pamoja na vile vivuta bange vya yemeni wabongo wakishashiba tende za msaada wanaamin houth au hizbollah wanaweza kuwachakaza mazayuni wakati mzee wao mwenyewe iran anaogopa ndio maana anatumia vikundi vya kigaid maana anajua atarudi stone age dakika zero tu
 
Hivi mnajua hamas na hezbollah ni vyama vya siasa na vinapigiwa Kura na vina wawakilishi kwenye mabunge ya kitaifa huko kwao
 
Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel.
Punguza mahaba, jifunze kutumia akili kama hawa wenzako.Vipi unawazidi hawa kwa akili yako fupi??

Israel’s attacks have devastated Hezbollah. How is it still fighting back?​

“What we have seen now in the past two weeks is that Hezbollah seems to have regained the initiative, Hezbollah is back on its feet, Hezbollah is pushing back and inflicting casualties on Israel on a daily basis,”

Issued on: 24/10/2024 - 21:57: Modified: 25/10/2024 - 15:38

Hii ni jana

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1849883750169182403
 
Sema hizbollah sijui walikua wanajikuta kina nan vile pamoja na vile vivuta bange vya yemeni wabongo wakishashiba tende za msaada wanaamin houth au hizbollah wanaweza kuwachakaza mazayuni wakati mzee wao mwenyewe iran anaogopa ndio maana anatumia vikundi vya kigaid maana anajua atarudi stone age dakika zero tu
Nshasema ma ostadh wa bongo ni wakupuuza.. 🤣🤣
 
Mmeshinda kuingia mmerudi , mnachukua watoto eti mmeteka wakati makomando wenu wanne jana wamefyekwa .

Hmuwezi kupigana na Hezbollah hata siku moja
 
Hivi mnajua hamas na hezbollah ni vyama vya siasa na vinapigiwa Kura na vina wawakilishi kwenye mabunge ya kitaifa huko kwao
Acha uongo bwana, hakuna vyama vya kisiasa hapo, hivyo ni vikundi vya kigaidi vilivyoundwa na Iran akitegemea kuvitumia kuiangamiza Israel. That's all.
 
Am sure Hwzbollah wanajuta mno maana walishakuwa wamecontrol life yao vizuri.. ona sasa kujiingiza vita zisizo zao.. wameambulia hasara na vifo.. bado pages na walk talkies
 
Sema hizbollah sijui walikua wanajikuta kina nan vile pamoja na vile vivuta bange vya yemeni wabongo wakishashiba tende za msaada wanaamin houth au hizbollah wanaweza kuwachakaza mazayuni wakati mzee wao mwenyewe iran anaogopa ndio maana anatumia vikundi vya kigaid maana anajua atarudi stone age dakika zero tu
Hao Houth Toka USA awatandike kwa silaha mpya week 2 zilizopita sijawasikia tena sijui nini kimewakuta tume miss vihoja vyao kwakweli.
 
Toka magaidi wa Hezboullah waanze kuishambulia Israel Oct 08,2023 kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas sasa hivi Majeshi ya Israel yalishaanza kuwashushia kipondo cha kufa mtu huko Lebanon kusini, Idadi kubwa ya shehena ya silaha imekamatwa na askari wa magaidi hao wanaendelea kuuwawa na wachache sana kutekwa.

IMG_0468.jpeg
 
Back
Top Bottom