joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
KDF And Ethiopian Army in Firefight at Moyale
Tulipokua watoto tulikua na msemo tukiutumia wakati wa kutaniana " Utani utani mwisho huwa kweli". Hii ya Kenya na Ethiopia inaanza kama utani, ninaogopa mwisho inaweza kuwa kweli, hizi chokochoko kila kukicha zinamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app