kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Nchi gani ambayo inakubali kuanzisha redio na magazeti kwa dhana ya ukabila, mtaendelea kucharazwa viboko na kuuliwa na POLISI wenu hadi mwisho wa dunia, POLISI wanawapiga wanahabari vile wapendavyo na kuuwa watu kama wanyama, Failed state.
Sent using Jamii Forums mobile app
Idiot. We are a free country. I know the concept of freedom is foreign to you, so I understand.
Magazeti na redio za lugha za mama zimeanzishwa kuwafikia Wakenya wanaoongea hizo lugha. Habari na taarifa za kitaifa na za mtaa zinawafikia kwa lugha wanazoelewa. Muziki wa lugha wanazoelewa na kadhalika.
Nchi zote zenye uhuru wa wanahabari ziko na redio na TV za lugha mbali mbali.
South Africa utapata redio za Zulu, Xhosa, Tswana na kadhalika.
US utapata redio za Kifaransa, Kilatino, Kigerumani, Kifilipino na kadhalika.
Tanzania utapata tu redio za SiSiemu.