joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
KDF And Ethiopian Army in Firefight at Moyale
Tulipokua watoto tulikua na msemo tukiutumia wakati wa kutaniana " Utani utani mwisho huwa kweli". Hii ya Kenya na Ethiopia inaanza kama utani, ninaogopa mwisho inaweza kuwa kweli, hizi chokochoko kila kukicha zinamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wa nchi wako busy na COVID-19KDF And Ethiopian Army in Firefight at Moyale
Tulipokua watoto tulikua na msemo tukiutumia wakati wa kutaniana " Utani utani mwisho huwa kweli". Hii ya Kenya na Ethiopia inaanza kama utani, ninaogopa mwisho inaweza kuwa kweli, hizi chokochoko kila kukicha zinamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na KDF nao wako busy kurushiana risasi na majeshi ya nchi jirani?Wakuu wa nchi wako busy na COVID-19
Hata vipeperushi huko kwenu ni credible sources?, naona mumezidiwa siku hizi maji shingoni [emoji23][emoji23][emoji23]Jifunze kutafuta credible news kabla ya kuropoka. Ni kusema huna uwezo wa kiakili wa kutofauitisha fake news na habari za ukweli?
Ilikuwa KDF vs militia.
Ethiopian gunmen open fire on Kenyan workers
Tension High as KDF, Militia in Gunfight at Kenya Border
Hata vipeperushi huko kwenu ni credible sources?, naona mumezidiwa siku hizi maji shingoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Tension High as KDF, Militia in Gunfight at Kenya Border
Is this credible source?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyetoa kibali cha kuhidhinisha kwamba Daily Nation na Kenyans.co.ke kuwa credible sources, au kwasababu zimeripoti vile unavyotaka we we?. Ukweli ni kwamba majeshi ya Ethiopia yaliwarushia risasi KDF na wao wakajibu mapigo. Huu upumbavu wenu wa kuona lile mnalopenda ninyi ndio sawa, pelekeni kwa wakikuyu wenzenu huko.Wewe akili umepeleka wapi?
Hakukuwa na vita dhidi ya majeshi ya Kenya na majeshi ya Ethiopia.
Vita ilikuwa dhidi ya majeshi wa Kenya na militia kutoka Ethiopia.
Vile vile KDF inapopigana na Alshabaab, haipigani na jeshi la Somalia. Inapigana na militia kutoka Somalia.
Daily Nation na Kenyans.co.ke ni credible sources.
Ujinga uliopost hapo juu kama source rudisha kwenye ulitoa.
If Kenyan news outlets are not credible have you tried reading Ethiopian news ama nikuropokwa tu?Hata vipeperushi huko kwenu ni credible sources?, naona mumezidiwa siku hizi maji shingoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Tension High as KDF, Militia in Gunfight at Kenya Border
Is this credible source?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukuchukua video ya tukio ?KDF And Ethiopian Army in Firefight at Moyale
Tulipokua watoto tulikua na msemo tukiutumia wakati wa kutaniana " Utani utani mwisho huwa kweli". Hii ya Kenya na Ethiopia inaanza kama utani, ninaogopa mwisho inaweza kuwa kweli, hizi chokochoko kila kukicha zinamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Better, juzi wamekutwa waethiopia wengi wamefariki kwenye kontena huko mtwaraIt is also good to note that The Ethiopian Government is also digging a trench along the common border with Kenya on their side.The strategy will help both countries stop Human traffickers have been exploiting the border to smuggle thousands of Ethiopians to South Africa .
Hii maneno iliisha vp vilee?It's obvious that Most Ethiopians are smuggled through Kenya enroute to South Africa. For that reason Kdf engineers brigade are digging a trench along the border line to stop them from crossing to Kenya from Ethiopia.
It was during this operation that they were attacked by the militia from Ethiopia and they responded by returning fire.
View attachment 1407093View attachment 1407116View attachment 1407117
Nani aliyetoa kibali cha kuhidhinisha kwamba Daily Nation na Kenyans.co.ke kuwa credible sources, au kwasababu zimeripoti vile unavyotaka we we?. Ukweli ni kwamba majeshi ya Ethiopia yaliwarushia risasi KDF na wao wakajibu mapigo. Huu upumbavu wenu wa kuona lile mnalopenda ninyi ndio sawa, pelekeni kwa wakikuyu wenzenu huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya hakuna media houses, ni makundi ya kikabila yaliyianzishwa kwa maslahi ya makabila yao.Until uanze kutumia ubongo, kojoa ulale.
Ukiamka, tafuta list ya media houses in Kenya.
Kenya hakuna media houses, ni makundi ya kikabila yaliyianzishwa kwa maslahi ya makabila yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi gani ambayo inakubali kuanzisha redio na magazeti kwa dhana ya ukabila, mtaendelea kucharazwa viboko na kuuliwa na POLISI wenu hadi mwisho wa dunia, POLISI wanawapiga wanahabari vile wapendavyo na kuuwa watu kama wanyama, Failed state.You've spoken truly like a citizen of a country with no free media.
Udikteta wa Magufuli tunaufahamu kutoka media za Kenya na za kigeni. Tanzania ukiripoti gazeti linafungwa.
If you want to talk about media, go compare notes with Burundi. I think their media houses are even more credible and free than yours.