'Majeshi ya Russia yalikuwa na upole sana kwa Ukraine' Anasema afisa mstaafu wa jeshi la Marekani, ambaye pia amfananisha Zelensky na 'Mdoli'

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi. Lakini sasa hivi majeshi hayo ya Russia yamerekebisha ule upole wao na sasa yameongeza zaidi mashambulizi.

" Nadhani Mr. Zelensky anaakhirisha (chelewesha) kitu ambacho hakiwezi kwepeka akiwa na matumaini kuwa tutaenda kumuokoa". "Na sisi hatuendi kumuokoa. Rais Biden kaliweka hilo wazi."

Muendeshaji wa majadiliano hayo maalumu ktk chombo cha habari cha Fox News, Stuart Varney akamuuliza: Macgregor unadhani mwisho wa vita hii upo karibu?

Macgregor akajibu: Mwisho wa hatua ya sasa ya vita hii upo baada ya siku chache mbeleni. Siku 5 za mwanzo nafikiri, kiukweli kabisa, majeshi ya Russia yalikuwa na upole. Ila sasa wamerekebisha upole huo. Hivyo nawezasema baada ya siku 10 nyingine kuanzia sasa kila kitu kitakuwa kimekamilishwa na majeshi ya Russia. Lakini swali la msingi ni kuwa Zelensky anaendafanya nini? Maana Russia wameweka wazi wanalotaka, kuwa Ukraine iwe nyutro. Huu mzozo ungeisha kabla hata ya vita, kama Zelensky angelikubali.

Varney akauliza: Colonel, yaonekana kama huukubali msimamo wa Zelensky.

Macgregor akajibu: Nafikiri Zelensky ni mdoli tu (anaendeshwa na watu wengine nje ya nchi yake), na anaweka mamilioni ya raia wa nchi yake ktk hatari isiyo na ulazima. Niwe mkweli tu, habari zinazotoka upande wa Ukraine nyingi ni za uongo tu.

Varney akauliza: Unasema Zelensky sio shujaa? Mbona anapamba kwa ajili yake na watu wake. Hivi huoni kama ni shujaa?

Macgregor akajibu: Hapana, simuoni kuwa ni shujaa. Sioni jambo lolote la kishujaa kwa huyu mtu (Zelensky). Na nafikiri jambo la kishujaa zaidi ambalo anawezalifanya kwa sasa ni kukubaliana na uhalisia wa mambo. Kukubali Ukraine iwe nyutro. Hili sio jambo baya. Ukraine iliyo nyutro itakuwa pia ni nzuri kwetu sisi (Marekani) na pia kwa Russia. Itatengeneza eneo ambalo pande mbili kinzani (Russia na NATO) hazitadhuriana (buffer), pande zote mbili zinahitajia eneo hilo.

=========

Retired U.S. Army Col. Douglas Macgregor, who served as an advisor at the Department of Defense during the Trump administration, said that Zelensky’s resistance is foolish and that he is not a hero. Moreover, he said, Russia was “too gentle” on the Ukrainians during the initial phase of the invasion.

Appearing on Fox Business on Friday, Macgregor stated that the Russians “have now corrected” their strategy now that they have intensified their attacks.

“Mr. Zelensky, I think, is postponing the inevitable in the hopes that we are going to rescue him,” Macgregor said. “And we are not coming. President Biden has made that very clear.”

Host Stuart Varney asked Macgregor if he thinks the end is near.

Here was his reply and the subsequent exchange:

MACGREGOR: Well, the end of this phase is still a few days away. The first five days, Russian forces I think, frankly, were too gentle. They’ve now corrected that. So I would say another 10 days, this should be completely over. But the question is, what is it that Zelensky going to do? The Russians have made it very clear what they want is a neutral Ukraine. This could’ve ended days ago if he accepted that. And then they can adjust the borders, but the eastern part of Ukraine is firmly in Russian hands, but again, the Russians are not seizing territory. They’re destroying Ukrainian forces. That’s their focus.

VARNEY: Colonel, it sounds like you don’t approve of Zelensky’s stand.

MACGREGOR: Oh, I think Zelensky is a puppet. And he is putting huge numbers of his own population at unnecessary risk, and quite frankly, most of what comes out of Ukraine is debunked as lies within 24 to 48 hours. The notions of taking and retaking airfields, all of this is nonsense. It hasn’t happened.

VARNEY: He’s not a hero? He’s standing up for himself and his own people. You don’t think he’s a hero?

MACGREGOR: No, I do not. I don’t see anything heroic about the man. And I think the most heroic thing that he can do right now is to come to terms with reality. Neutralize Ukraine. This is not a bad thing. A neutral Ukraine would be good for us as well as for Russia. It would create the buffer that, frankly, both sides want. But he’s, I think, being told to hang on and try to drag this out, which is tragic for the people that have to live through this.

Huyu Rais wa Ukraine alikuwa the Commedy kama Masanja Mkandamizaji ilikuwa kosa kubwa kumchagua kuwa Rais wa Ukraine.
Amejifanya kuwa mpambe wa Marekani na amewaletea wananchi wa Ukraine
 
Huyo askari ni bogus, hajui kwamba Russia hawana mamlaka ya kuingilia uhuru wa nchi nyingine kujiamulia mambo yake.

Anajua askari wangapi wa Russia ambao wameshapoteza maisha kwenye huu uvamizi au nae ni woga tu akifikiri rafiki zake wangeweza kupelekwa Ukraine kupigana.
 
[emoji23][emoji28]servant of the people[emoji23][emoji23][emoji115]
 
Huyo askari ni bogus, hajui kwamba Russia hawana mamlaka ya kuingilia uhuru wa nchi nyingine kujiamulia mambo yake.

Anajua askari wangapi wa Russia ambao wameshapoteza maisha kwenye huu uvamizi au nae ni woga tu akifikiri rafiki zake wangeweza kupelekwa Ukraine kupigana.
Huyo ni Afisa mstaafu wa jeshi na amewahi kuwa mshauri wa mambo ya Ulinzi wa Marekani.

Hivyo anaongea anachokijua na alichowahi kukifanyia kazi..

Sasa wewe mmarekani wa buza huko bado unambishia bado umekalia ni nchi huru.

Ukrane ni nchi ya kimkakati kwa USA,NATO na Urusi kwa upande mwingine.

Yoyote atakaye ikalia atasababisha mwenzake akose Usingizi, hivyo salama ya Ukrane ni kutofungamana na upande wowote..
 
Unafikiri ni kwa nini Putin ameweka sheria ya kikatili dhidi ya vyombo vya habari. Usicheze na vita, unaweza ukakiwasha hadi ukakimbia mwenyewe.

Nani alifahamu kwamba Russia wanaweza kuagiza wapiganaji wa kukodi toka Syria 🤣🤣🤣
 
Unafikiri ni kwa nini Putin ameweka sheria ya kikatili dhidi ya vyombo vya habari. Usicheze na vita, unaweza ukakiwasha hadi ukakimbia mwenyewe.

Nani alifahamu kwamba Russia wanaweza kuagiza wapiganaji wa kukodi toka Syria [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UKRAINE lazima ijisalimishe na Yanukovich ndio rais ajae wa UKRAINE kama JOTI wa UKRAINE atakataa.masharti yetu
 
Kitu ambacho hakitawezekana inyeshe mvua au iwake jua ni Urusi kuweza kuwapandikizia Ukraine rais kibaraka kama mahesabu ya kuingia Kiyiv tu ndio yameshindikana hadi wanaagiza mamluki toka Syria ndio watapata wapi hiyo jeuri.

Russia sio kama ilivyo kuwa inachukuliwa ktk medani ya kivita na hapo Nato imewaunga mkono Ukraine kidogo tu ndio Russia wanahema hivi.

NB: Russia wameshapoteza zaidi ya wapiganaji 4,000 chini ya majuma mawili wakiwemo ma-meja jenerali wawili Vitaly Gerasimov na Andrei Sukhovetsky wote wa 41st combat brigade.

Putin thought it was going to be like a cakewalk, it has never been one 🤣🤣🤣
 
Mtu yeyote anayeshabikia huu ujinga na kum support Qumer putin namuona ni kijana mdogo anayekaa sebuleni kwa shemeji yake.

Kisha pia namuona ni msssssenge tu anayepumuliwa na ku earn kipata.

Kama ujajitafutiaga hata senti moja tu ya kula utagundua jinsi gani dunia haihitaji vita.
Marekani na nchi za magharibi wameridhia ndoa za jinsia moja ndio maana unawashabikia
 
Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi. Lakini sasa hivi majeshi hayo ya Russia yamerekebisha ule upole wao na sasa yameongeza zaidi mashambulizi.

" Nadhani Mr. Zelensky anaakhirisha (chelewesha) kitu ambacho hakiwezi kwepeka akiwa na matumaini kuwa tutaenda kumuokoa". "Na sisi hatuendi kumuokoa. Rais Biden kaliweka hilo wazi."

Muendeshaji wa majadiliano hayo maalumu ktk chombo cha habari cha Fox News, Stuart Varney akamuuliza: Macgregor unadhani mwisho wa vita hii upo karibu?

Macgregor akajibu: Mwisho wa hatua ya sasa ya vita hii upo baada ya siku chache mbeleni. Siku 5 za mwanzo nafikiri, kiukweli kabisa, majeshi ya Russia yalikuwa na upole. Ila sasa wamerekebisha upole huo. Hivyo nawezasema baada ya siku 10 nyingine kuanzia sasa kila kitu kitakuwa kimekamilishwa na majeshi ya Russia. Lakini swali la msingi ni kuwa Zelensky anaendafanya nini? Maana Russia wameweka wazi wanalotaka, kuwa Ukraine iwe nyutro. Huu mzozo ungeisha kabla hata ya vita, kama Zelensky angelikubali.

Varney akauliza: Colonel, yaonekana kama huukubali msimamo wa Zelensky.

Macgregor akajibu: Nafikiri Zelensky ni mdoli tu (anaendeshwa na watu wengine nje ya nchi yake), na anaweka mamilioni ya raia wa nchi yake ktk hatari isiyo na ulazima. Niwe mkweli tu, habari zinazotoka upande wa Ukraine nyingi ni za uongo tu.

Varney akauliza: Unasema Zelensky sio shujaa? Mbona anapamba kwa ajili yake na watu wake. Hivi huoni kama ni shujaa?

Macgregor akajibu: Hapana, simuoni kuwa ni shujaa. Sioni jambo lolote la kishujaa kwa huyu mtu (Zelensky). Na nafikiri jambo la kishujaa zaidi ambalo anawezalifanya kwa sasa ni kukubaliana na uhalisia wa mambo. Kukubali Ukraine iwe nyutro. Hili sio jambo baya. Ukraine iliyo nyutro itakuwa pia ni nzuri kwetu sisi (Marekani) na pia kwa Russia. Itatengeneza eneo ambalo pande mbili kinzani (Russia na NATO) hazitadhuriana (buffer), pande zote mbili zinahitajia eneo hilo.

=========

Retired U.S. Army Col. Douglas Macgregor, who served as an advisor at the Department of Defense during the Trump administration, said that Zelensky’s resistance is foolish and that he is not a hero. Moreover, he said, Russia was “too gentle” on the Ukrainians during the initial phase of the invasion.

Appearing on Fox Business on Friday, Macgregor stated that the Russians “have now corrected” their strategy now that they have intensified their attacks.

“Mr. Zelensky, I think, is postponing the inevitable in the hopes that we are going to rescue him,” Macgregor said. “And we are not coming. President Biden has made that very clear.”

Host Stuart Varney asked Macgregor if he thinks the end is near.

Here was his reply and the subsequent exchange:

MACGREGOR: Well, the end of this phase is still a few days away. The first five days, Russian forces I think, frankly, were too gentle. They’ve now corrected that. So I would say another 10 days, this should be completely over. But the question is, what is it that Zelensky going to do? The Russians have made it very clear what they want is a neutral Ukraine. This could’ve ended days ago if he accepted that. And then they can adjust the borders, but the eastern part of Ukraine is firmly in Russian hands, but again, the Russians are not seizing territory. They’re destroying Ukrainian forces. That’s their focus.

VARNEY: Colonel, it sounds like you don’t approve of Zelensky’s stand.

MACGREGOR: Oh, I think Zelensky is a puppet. And he is putting huge numbers of his own population at unnecessary risk, and quite frankly, most of what comes out of Ukraine is debunked as lies within 24 to 48 hours. The notions of taking and retaking airfields, all of this is nonsense. It hasn’t happened.

VARNEY: He’s not a hero? He’s standing up for himself and his own people. You don’t think he’s a hero?

MACGREGOR: No, I do not. I don’t see anything heroic about the man. And I think the most heroic thing that he can do right now is to come to terms with reality. Neutralize Ukraine. This is not a bad thing. A neutral Ukraine would be good for us as well as for Russia. It would create the buffer that, frankly, both sides want. But he’s, I think, being told to hang on and try to drag this out, which is tragic for the people that have to live through this.

Mbona ndo ukweli wenyewe wa Mambo mkuu..
 
Huyo askari ni bogus, hajui kwamba Russia hawana mamlaka ya kuingilia uhuru wa nchi nyingine kujiamulia mambo yake.

Anajua askari wangapi wa Russia ambao wameshapoteza maisha kwenye huu uvamizi au nae ni woga tu akifikiri rafiki zake wangeweza kupelekwa Ukraine kupigana.
Kuna kitu kinaitwa external sovereignty na internal sovereignty somo la form 1 au 2 hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu ambacho hakitawezekana inyeshe mvua au iwake jua ni Urusi kuweza kuwapandikizia Ukraine rais kibaraka kama mahesabu ya kuingia Kiyiv tu ndio yameshindikana hadi wanaagiza mamluki toka Syria ndio watapata wapi hiyo jeuri.

Russia sio kama ilivyo kuwa inachukuliwa ktk medani ya kivita na hapo Nato imewaunga mkono Ukraine kidogo tu ndio Russia wanahema hivi.

NB: Russia wameshapoteza zaidi ya wapiganaji 4,000 chini ya majuma mawili wakiwemo ma-meja jenerali wawili Vitaly Gerasimov na Andrei Sukhovetsky wote wa 41st combat brigade.

Putin thought it was going to be like a cakewalk, it has never been one 🤣🤣🤣
hizi takwim huwaga mnatoa wapi?wangekuwa kweli wamepoteza hao askari elfu nne basi ukraine wasingepoteza muda kutuonyesha picha na video za maiti zao, lakini pia wasingekuwa wanalia lia kuwa wanataka mazungumzo
 
Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi. Lakini sasa hivi majeshi hayo ya Russia yamerekebisha ule upole wao na sasa yameongeza zaidi mashambulizi.

" Nadhani Mr. Zelensky anaakhirisha (chelewesha) kitu ambacho hakiwezi kwepeka akiwa na matumaini kuwa tutaenda kumuokoa". "Na sisi hatuendi kumuokoa. Rais Biden kaliweka hilo wazi."

Muendeshaji wa majadiliano hayo maalumu ktk chombo cha habari cha Fox News, Stuart Varney akamuuliza: Macgregor unadhani mwisho wa vita hii upo karibu?

Macgregor akajibu: Mwisho wa hatua ya sasa ya vita hii upo baada ya siku chache mbeleni. Siku 5 za mwanzo nafikiri, kiukweli kabisa, majeshi ya Russia yalikuwa na upole. Ila sasa wamerekebisha upole huo. Hivyo nawezasema baada ya siku 10 nyingine kuanzia sasa kila kitu kitakuwa kimekamilishwa na majeshi ya Russia. Lakini swali la msingi ni kuwa Zelensky anaendafanya nini? Maana Russia wameweka wazi wanalotaka, kuwa Ukraine iwe nyutro. Huu mzozo ungeisha kabla hata ya vita, kama Zelensky angelikubali.

Varney akauliza: Colonel, yaonekana kama huukubali msimamo wa Zelensky.

Macgregor akajibu: Nafikiri Zelensky ni mdoli tu (anaendeshwa na watu wengine nje ya nchi yake), na anaweka mamilioni ya raia wa nchi yake ktk hatari isiyo na ulazima. Niwe mkweli tu, habari zinazotoka upande wa Ukraine nyingi ni za uongo tu.

Varney akauliza: Unasema Zelensky sio shujaa? Mbona anapamba kwa ajili yake na watu wake. Hivi huoni kama ni shujaa?

Macgregor akajibu: Hapana, simuoni kuwa ni shujaa. Sioni jambo lolote la kishujaa kwa huyu mtu (Zelensky). Na nafikiri jambo la kishujaa zaidi ambalo anawezalifanya kwa sasa ni kukubaliana na uhalisia wa mambo. Kukubali Ukraine iwe nyutro. Hili sio jambo baya. Ukraine iliyo nyutro itakuwa pia ni nzuri kwetu sisi (Marekani) na pia kwa Russia. Itatengeneza eneo ambalo pande mbili kinzani (Russia na NATO) hazitadhuriana (buffer), pande zote mbili zinahitajia eneo hilo.

=========

Retired U.S. Army Col. Douglas Macgregor, who served as an advisor at the Department of Defense during the Trump administration, said that Zelensky’s resistance is foolish and that he is not a hero. Moreover, he said, Russia was “too gentle” on the Ukrainians during the initial phase of the invasion.

Appearing on Fox Business on Friday, Macgregor stated that the Russians “have now corrected” their strategy now that they have intensified their attacks.

“Mr. Zelensky, I think, is postponing the inevitable in the hopes that we are going to rescue him,” Macgregor said. “And we are not coming. President Biden has made that very clear.”

Host Stuart Varney asked Macgregor if he thinks the end is near.

Here was his reply and the subsequent exchange:

MACGREGOR: Well, the end of this phase is still a few days away. The first five days, Russian forces I think, frankly, were too gentle. They’ve now corrected that. So I would say another 10 days, this should be completely over. But the question is, what is it that Zelensky going to do? The Russians have made it very clear what they want is a neutral Ukraine. This could’ve ended days ago if he accepted that. And then they can adjust the borders, but the eastern part of Ukraine is firmly in Russian hands, but again, the Russians are not seizing territory. They’re destroying Ukrainian forces. That’s their focus.

VARNEY: Colonel, it sounds like you don’t approve of Zelensky’s stand.

MACGREGOR: Oh, I think Zelensky is a puppet. And he is putting huge numbers of his own population at unnecessary risk, and quite frankly, most of what comes out of Ukraine is debunked as lies within 24 to 48 hours. The notions of taking and retaking airfields, all of this is nonsense. It hasn’t happened.

VARNEY: He’s not a hero? He’s standing up for himself and his own people. You don’t think he’s a hero?

MACGREGOR: No, I do not. I don’t see anything heroic about the man. And I think the most heroic thing that he can do right now is to come to terms with reality. Neutralize Ukraine. This is not a bad thing. A neutral Ukraine would be good for us as well as for Russia. It would create the buffer that, frankly, both sides want. But he’s, I think, being told to hang on and try to drag this out, which is tragic for the people that have to live through this.

Sio kila kinachoandikwa kwenye mitandao ni habari.
 
Back
Top Bottom