Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Kuna watu wanapenda kutembelea maeneo yanayozunguka majeshi hasa JW huku wakitembeza vitu mbalimbali kama wamachinga. Kuna kijana nilikutana naye maeneo ya kaboya akitembeza vyombo original na vya kisasa, vyombo hivyo viliuzwa bei ya kutupwa. ajabu kijana huyo alijifanya hajui kiswahil hivyo alikuwa akitumia kiingereza kwa mawasiliano.
Majuzi nikiwa ngerengere nikakutana na kijana mwingine anazungusha vitenge original kwa bei ya kutupwa. huyu alikuwa anajua kiingereza kidogo lakini lugha aliyodai kuifaham zaidi ni kifaransa. alisema ni mkongo. kilichonipa wasi wasi ni kuwa kijana huy nilikutana naye tena karibu na makao makuu ya jeshi JW akiwa na vijana watatu (watanzania) na askari mmoja (cheo cha kopro) wamekaa sehemu moja wanapiga story kwa kiswahili sahihi kabisa.
Nilimwomba askari tuongee pembeni, nilimwuliza kama anawafaham vijana aliokuwa nao akasema wale watatu ni maaskari wenzake ila yule mwingine alitaka wamsaidie jinsi ya kujiunga na jesh (wataalam). mara ilikuja pikipk haraka akapanda na kuondoka