Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Hii tabia mm nimekutana nayo sana na huwa nakeleka mpka basi nishawahi kutana na jamaa m1 anajifanya mcongo mm kumchk pure jamaa alikua african-america kilichonishangaza hakuna mtu aliwza kujua uyu jamaa ni jasusi hta polisi hwana time movement zake ndo nilichoka jamaa e.g watu ambao alikuwa anaruhusu kuwa nae karibu especially mademu ni wale ambao they dn't know what is going on they don't wonder why and what is going on nikagundua jamaa anfanya ivi ili ajifiche. kwa w2 ambao wanajua maswala ya COMMUNICATION kuna baadhi na aina ya commnication huwezi kufanya kma huna insssue au mawasiliano ya nje uyu nigga alikuwa na vitu vya ajabu hususani alituma setelite hta kupga simu nina huhakika no one even videmu vyake aliejua except me nilichoka nilijiulza system ytu ikoje? nina vingi bt unawza ishia kulia na kuchukia watu na kazi zao 2
Uandishi wako unasumbua ila maoni ni mazuri