EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
unauhakika na thamani ya namba ya izo herufi zako ?Mbona unapayuka tu
Papa ni mpinga kristo
Ndiye mmiliki wa 666
Mkuu unwz rusha kwny hii thread links za threads zilizopita?Mbona unapaniki, muendelezo wa najesuit ushakuja na nishapost halafu sipangiwi ,coz naandaa mwenyewe,
Kuhusu mauaji ya kuua watakatifu nishaelezea hilo kwa details ,kwa faida ya wengi nitaurejesha huo uzi ukiwa umeshiba
KUHUSU CONSTANTINE
MBONA HATA MAPADRI NA MAPAPA WAMEKIRI HILO?
WEWE NI MAAMUMA?
KATIKA KITABU CHA WAKATORIKI KIITWACHO
BUSTANI YA KATEKISTA
Ukurasa - 74
Swali: KWA NINI TUNASALI SIKU YA JUMAPILI SIO SABATO?
Jibu: Kihistoria tunaelewa kwamba wakristo wa kwanza waliendelea kuadhimisha siku ya Bwana Jumamosi, walivyozoea wayahudi; hasa wakristo waliotoka dini ya kiyahudi......
Wale ambao walikuwa wanatoka upagani, hawakujisikia kuwa wanabanwa na sheria zile.........
Sababu nyingine ya kusali Jumapili ni hii; wafuasi wa Yesu walitaka kujitofautisha na waamini wa dini ya kiyahudi walioadhimisha ibada siku ya Jumamosi......
Polepole wakristo wakaanza kuzoea kukutana, kusali, kusoma masomo yao na kumega mkate siku ya kwanza.....
Ndivyo, tarehe 03/03/321, mfalme Konstantino alivyotangaza rasmi kwamba Jumapili iwe SIKU YA BWANA, wakristo wapumzike na kusali. Hayo ndiyo mapokeo ya Makanisa mengi.....
BUSTANI YA KATEKISTA CHA PADRE RAPHAEL ROGEAU W.F.
PUBLISHING-benedictine publications ndanda-peramiho ukurasa wa 74
SASA WEWE NA PADRE RAPHAEL ROGEAU NANI NI MUONGO?
UNAANZA KUKANA MAPADRE WAKO WALIOKUINGIZA HUKO RC?
NINA NUKUU HADI ZA PADRE TITUS AMIGU
Vitabu hivi vipo maktaba au bookshop za RC vinauzwa
HALI YAKO NI MBAYA KIUJUMLAkweli njia ya mwongo ni FUPI na bible inatufundisha kuwa baba wa uwongo ni SHETANI (bilan shaka wewe utakuwa ni first born wa uzao wake)
eti umeishi misheni kwa
miaka minne , umeshinda library za RC
sana.
akati Huo UZUSHI/UPUUZI unakopi na kupesti na kutafsiri kwa kiswahili toka kwa vitabu na link za NABII MKE BI ELLEN G WHITE pamoja na washirika wake ambao kimsingi hao watu ni wapinga KRISTO NA KAZI ZAKE (tena kama unabisha BISHA na NASUBIRI UKATAE NIKUAIBISHE) kataa kuwa hukopi toka kwa hao jamaa NIKUAIBISHE
yangu ulisema nakopi na kupesti toka mtandaoni NIKAKUOMBA ULETE USHAHIDI AU HATA link Cha ajabu MPAKA LEO KIMYA
nimekuuliza sababu 3 tu za waayahudi kuiishi sabato (zimo kwenye iyo biblia yako) kimya
na sababu za wewe kifuata sabato ya kiyahudi wewe unaniletea sababu za mimi kusali jumpili (unatumia nini kufikiri ndugu yangu)
hivi ndugu yangu iyo kalenda iliyotundika apo ndani kwako au iliyo kwenye simu yako na ambayo huitumia kuangalia IZO JUMAMOSI ZAKO ZA SABATO na ratiba zako unahabari kuwa ilivumbulia na kutenezwa na PAPA GREGORY ? UNAHABARI KUWA INAITWA GREGORIAN CALENDER ? au hayo huwa huyaoni ?
we endelea tu kushambulia VICHWA vya kanisa katoliki na vitu usivo vijua
"heri yao wenye hali mbaya na ngumu katika unyenyekevu wa kweli na kweli yote ndani ya kristo. na ole wao wenye hali nzuri sana na amani ya kubuni katika upotevo......."HAL
HALI YAKO NI MBAYA KIUJUMLA
Kwan wewe upo wapi kama mwenzio yupo mbagala?Jenga acha kubwabwaja ,uzuri nakujua sana ktk mijadala yako
Haya mambo usikurupuke , njoo na data
Abraham lincoln kaanza kuwashutumu MAJESUIT wakitaka kumuua ,hata barua inaonesha hivo
Akaja akauliwa , wewe UPO MBAGALA KIMBANGULILE unabisha ,aliyeuliwa alianza kuwashutumu kabla,
HAKIKA UNA UELEWA MDOGO,
Unatetea mafundisho ya MNYAMA???usipochunguza Maandiko na kuyaelewa HAKIKA UTAANGAMIA."heri yao wenye hali mbaya na ngumu katika unyenyekevu wa kweli na kweli yote ndani ya kristo. na ole wao wenye hali nzuri sana na amani ya kubuni katika upotevo......."
AHSANTE NA UBARIKIWE SANA MTUMISHI........
ASUBUHI NJEMA.......