KERO Maji baadhi ya Maeneo ya Dar imekuwa ni kero

KERO Maji baadhi ya Maeneo ya Dar imekuwa ni kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,898
Reaction score
1,051
Habari,

Baada ya Mzalendo John Pombe Magufuli kuchukua madaraka alijitahidi kuboresha huduma za maji Kwa maeneo ya Ilala ilikuwa ni nadra sana maji kukatika, lakini Cha ajabu na masikitiko makubwa ni kwamba maeneo ya Ilala Kwa Sasa Yana shida ya maji kama vile hapa ni kijijini Singida ndani ndani huko Kwa Wahdzabe,watu wanachota maji ya Jangawani machafu hadi Yana vinyesi.

Hivi Magufuli alivyokufa aliondoka na vifaa na watendaji? Tunakatwa Makato Kibao ila huduma muhimu kama maji hakuna mwishowe kipindupindu kitakuja.
 
Unasema baadhi ya maeneo wakati ni dar nzima!
 
Ukiona mahali hakuna shida sana basi ni visima vya watu sio ya serikali
 
Bongo ni New York 😀 😀 😀 😀 😀 si ndio uwa mnadanganyana hivyo. Sasa hapo ni Dar Es Salaam , vipi huko Kazuramimba na mpitimbi???
 
Back
Top Bottom