Watu wanaishi kwa mazoea tu, hiyo mitaa ilikuwa hivyo toka 2006 yaani Mhandu,Maswa,Machinjioni hayo mabomba ni mapambo tu ni mwendo wa visima na lile bomba la ku-pump (kama bado lipo)
Kule Igoma Primary tank la kuhifadhi maji umbali hata KM moja haifiki Ila upatikanaji wa maji ulikuwa hivyohivyo.
Wakati huo kwa Kahama,maji ya ziwa Victoria yakikatika kwa mwezi labda masaa mawili tena kwa kujulishwa mapema.