Si useme tu wao ndio wanaozuia mvua na kuongeza kiasi cha joto dunian kupitia mitambo yao ya kishenzi.
Ukame, uhaba wa mvua, mafuriko, ugaidi, vita, njaa, movement za wakimbizi, mitifuano ya kisiasa haya yote , hayajawai kutokea kwa bahati mbaya[emoji23][emoji23]
Kama viongozi wetu wangekuwa wema sana wangekuwa wanaweka wazi Mikataba wanayosaini na hayo wanayoyajadiri mikutano ya UN.
Hata kupanda kwa hali ya maisha si jambo la bahati mbaya, bali washenzi wachache wanaoamua mustakabari wa maisha uende vipi ili waweze kuwacontrol watakavyo.
Kama siku tukiyajuwa yale tusiyoyajua kuhusu nchi zetu, i swear wengi wetu tutawakana viongozi wetu hata utaifa wetu,
Sir100 mpaka anamaliza uongoz nchi itakuwa imeharibika vya kutosha, wachache wanafaidi na wengi wanaumia.
Siku zote ukiwa upande wa kweli lazima uchukiwe.