Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wakuu,

kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.

Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
 
wakuu,kila nikienda kazini na jioni kurudi home,maji hupungua lita 1,engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.
kwenda na kurudi ni km 60,tatizo nini wadau..
Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.

Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
 
Umemaliza kila kitu
 
Umemaliza kila kitu.
 
Ngoja waje wengine sisi tuulize Ganagana za Tabora pale nzega tutakuambia
 
Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.

Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
ok,ntaweka coolant,ila haivuji mkuu,na wala haichemshi.
 
Kwani haina reserve tank,kuisha lita nzima si mchezo!
 
Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.

Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
Umeelezea vizuri sana,

Angalizo,mleta mada usifungue mfuniko wa rejeta mpaka pale gari inapokua imezimwa na imepoa kuepuka pressure ya maji ya moto yatakayo kurukia usoni.
 
wakati mwingine ni dalili za pump kufa. Pampu huanza kubujisha maji taratibu, hatimaye inakufa kabisa
 
Kuna gari huu mwezi inakamilisha miaka miwili haijawahi ongezwa hata tone la coolant.
Mimi nilinunua hari nikaa nalo nadhani miaka 3 sikuwahi ongeza coolant... Sasa bwana mwaka huu nimenunua gari kwa mtu mimi nilishazoea hivyo kwa gari nilizowahi kumiliki. Si nmetoka home ninaenda kumbe gari haina maji ukiendesha yanapungua. Kwenye folen ikaanza kuzima kumbe mshale uko juu kabsa sina habari, nimefika sehemu ikazima kabsa. Namwita fundi ndio anagundua gari imechemka balaa kucheki maji hakuna. Kaweka coolant baada ya engine kupoa ikawaka nikaendelea na safari na sasa mwez wa tatu kila nikitaka kuitumia nachek ila hapa najichanga niuze tu maana...
 
Tengeneza kwanza then uza...
 
Wakuu,

kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.

Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?

Inz Ina mshale wa kuonyesha imechemsha au inawaka Taa ya kuonyesha imechemsha?
Eg.iliyopo kwenye Ist, Ractis
 
mshale uko katikati(normal),leo nimetembea km 60,nilivyorudi nimeongeza lita 2,ila gari haichemshi..
 
Back
Top Bottom