profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.wakuu,kila nikienda kazini na jioni kurudi home,maji hupungua lita 1,engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.
kwenda na kurudi ni km 60,tatizo nini wadau..
Umemaliza kila kituLazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.
Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
Umemaliza kila kitu.Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.
Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
ok,ntaweka coolant,ila haivuji mkuu,na wala haichemshi.Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.
Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
Mbona ndugu Mwanga Mkali kakueleza vizuri sana kuwa inawezekana ikawa inavuja sehemu ndogo sana na iliyojificha ambayo sio rahisi kuiona.ok,ntaweka coolant,ila haivuji mkuu,na wala haichemshi.
Umeelezea vizuri sana,Lazima Inavuja sehemu ndogo sana anza kuangalia mfuniko, hose pipe zake au peleka kwa mafundi radiator wataipiga pressure utaona tatizo. Weka kichwani lazima inavuja.
Pia tumia coolant sio maji ile ina rangi ambayo sehemu inayovuja ungeiona rangi, pia inavumilia joto kali kuliko maji hivyo injini inapoa haraka.
Hiyo inavuja mkuu,1 litter kupungua kwa mwendo wa 60KM sio kawaida,coolant inaweza kukaa hata miezi kadhaa bila kurefill.ok,ntaweka coolant,ila haivuji mkuu,na wala haichemshi.
Kuna gari huu mwezi inakamilisha miaka miwili haijawahi ongezwa hata tone la coolant.Hiyo inavuja mkuu,1 litter kupungua kwa mwendo wa 60KM sio kawaida,coolant inaweza kukaa hata miezi kadhaa bila kurefill.
asante mkuuAnza na mfuniko wa rejeta kisha angalia pipe zotee
Mimi nilinunua hari nikaa nalo nadhani miaka 3 sikuwahi ongeza coolant... Sasa bwana mwaka huu nimenunua gari kwa mtu mimi nilishazoea hivyo kwa gari nilizowahi kumiliki. Si nmetoka home ninaenda kumbe gari haina maji ukiendesha yanapungua. Kwenye folen ikaanza kuzima kumbe mshale uko juu kabsa sina habari, nimefika sehemu ikazima kabsa. Namwita fundi ndio anagundua gari imechemka balaa kucheki maji hakuna. Kaweka coolant baada ya engine kupoa ikawaka nikaendelea na safari na sasa mwez wa tatu kila nikitaka kuitumia nachek ila hapa najichanga niuze tu maana...Kuna gari huu mwezi inakamilisha miaka miwili haijawahi ongezwa hata tone la coolant.
Tengeneza kwanza then uza...Mimi nilinunua hari nikaa nalo nadhani miaka 3 sikuwahi ongeza coolant... Sasa bwana mwaka huu nimenunua gari kwa mtu mimi nilishazoea hivyo kwa gari nilizowahi kumiliki. Si nmetoka home ninaenda kumbe gari haina maji ukiendesha yanapungua. Kwenye folen ikaanza kuzima kumbe mshale uko juu kabsa sina habari, nimefika sehemu ikazima kabsa. Namwita fundi ndio anagundua gari imechemka balaa kucheki maji hakuna. Kaweka coolant baada ya engine kupoa ikawaka nikaendelea na safari na sasa mwez wa tatu kila nikitaka kuitumia nachek ila hapa najichanga niuze tu maana...
Wakuu,
kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.
Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
mshale uko katikati(normal),leo nimetembea km 60,nilivyorudi nimeongeza lita 2,ila gari haichemshi..Inz Ina mshale wa kuonyesha imechemsha au inawaka Taa ya kuonyesha imechemsha?
Eg.iliyopo kwenye Ist, Ractis
kale ka tenk ka pembeni ya rejeta nako kanaisha,leo rejeta baada ya kurudi nimeongeza lita 2,na kale ka tenki nimejaza tenaKwani haina reserve tank,kuisha lita nzima si mchezo!
sio coolant,ni maji ya kawaida mkuuHiyo inavuja mkuu,1 litter kupungua kwa mwendo wa 60KM sio kawaida,coolant inaweza kukaa hata miezi kadhaa bila kurefill.