Maji maji kabla ya kumwaga shahawa

Maji maji kabla ya kumwaga shahawa

KIJASHO

Member
Joined
Mar 10, 2010
Posts
17
Reaction score
5
Naomba kufahamishwa kama niko na tatizo au hali hii hutokea kwa wanaume wote, nikiwa na mpenzi wangu tukiwa tunafanya oral sex huwa natokwa na maji maji kwenye uume wangu yaaani kama nimevaa boxer basi inaweza kuloana, hii ni hali ya kawaida au?
 
una matatizo,majimaji inabidi yatoke wakati wa kupanda na kushuka kitu kikiwa in and out!
 
Hapana ni kwaida sana, ila inatokea kipindi mihemko imekolea sawasawa.

Kama inatokea hovyo hovyo na maji kuwa mengi mara nyingi ni tatizo la kulegea kwa musili ya uume kunakotokana na kujichua kwa muda mrefu au kupenda kufanya mapenzi kwa kujizuia ku-"pizi" ili ukae muda mrefu kifuani kwa mrembo, madhara yake pia ni kulegea kwa misuli hiyo japo ni long term disaster
 
Hili nalo ni ajabu majimaji badala ya kutoka kwa mwanamke eti yanatoka kwa mwanaume!...mzuka ukikupanda unalegea na kuloana? Dah
 
Kama me zimempanda haswa mbona kawaida,ila si maji bana,like ute ( unateleza)
 
Back
Top Bottom