Wandugu, habari zenu.? Me nimeshakua katika mahusiano na wanaume watatu. Sa kuna mmoja kati ya hao wakati wa tendo yan yupo dry. Hata ufanyeje hakuna maji maji (ute) yanayotoka kwenye uume. Je hii ikoje? Na je ni lazima kwa mwanaume kutoka maji maji (ute) kwenye uume katika maandaliz ya tendo?? Majibu tafadhali.
Back to me: mwanaume niliye naye sa hiv akinigusa tu chini kushaharibika. I hate hii hali jaman yaani nakwazika sana Sijui what to do as hii hali ni ngeni kwangu. Hapo mwanzo haikua hivyo. Majibu tafadhali.