- Thread starter
- #41
.kwa hiyo kwa maelezo haya so sio lazima uteute kutoka??!Kwa kawaida mwanaume huweza kutoa majimaji katika vipindi viwili tofauti;
Preejaculation - ute uzalishwao na cowpers glands kwa minajili ya kupunguza nguvu ya asidi katika urethra.
Ejaculation - ute uzalishwao na prostate glands ukibebeba mbegu za kiume zikokazo kwenye korodani...waswahili huuita ute huu kama manii au bao.
Sasa kwa kadiri nilivyomuelewa binti huyu, wanaume ambao amepata kukutana nao isipokuwa mmoja huwa wanakosa self control ya kuzuia manii kutoka na kujikuta wakimwaga manii kabla hata ya kungonoka.
Kabla ya kungonoka ukiaja ute ute utelewao na cowpers glands ambao nao si lazima utoke kabla ya ngono, mwanaume huwa hatoi uteute...
Uteute wowote unaotoka kabla ni ama mwanaume kakosa self control au ana matatizo tu ya misuli izuiayo bao...
Pia umesema kuwa ute huo wa awali i.e kabla ya ngono "husaidia kupunguza nguvu ya asidi" .kwa hyo sasa asiyetoa maana yake nguvu ya asidi haipunguzwi. Sasa kama nguvu ya asidi haitapunguzwa, je hakuna madhara yoyote??