Maji maji katika uke au uume

Maji maji katika uke au uume

Kwa kawaida mwanaume huweza kutoa majimaji katika vipindi viwili tofauti;

Preejaculation - ute uzalishwao na cowpers glands kwa minajili ya kupunguza nguvu ya asidi katika urethra.

Ejaculation - ute uzalishwao na prostate glands ukibebeba mbegu za kiume zikokazo kwenye korodani...waswahili huuita ute huu kama manii au bao.

Sasa kwa kadiri nilivyomuelewa binti huyu, wanaume ambao amepata kukutana nao isipokuwa mmoja huwa wanakosa self control ya kuzuia manii kutoka na kujikuta wakimwaga manii kabla hata ya kungonoka.

Kabla ya kungonoka ukiaja ute ute utelewao na cowpers glands ambao nao si lazima utoke kabla ya ngono, mwanaume huwa hatoi uteute...

Uteute wowote unaotoka kabla ni ama mwanaume kakosa self control au ana matatizo tu ya misuli izuiayo bao...
.kwa hiyo kwa maelezo haya so sio lazima uteute kutoka??!
Pia umesema kuwa ute huo wa awali i.e kabla ya ngono "husaidia kupunguza nguvu ya asidi" .kwa hyo sasa asiyetoa maana yake nguvu ya asidi haipunguzwi. Sasa kama nguvu ya asidi haitapunguzwa, je hakuna madhara yoyote??
 
Mlingot unasimama vyema kabisaa n pafomac iko vyema. Sasa hapo kwenye product ndo sijawahi ifuatilia. Labda ndo nianze sa hivi

Practical is better than theory jaribu leo... Lakini pia kuna casualties kwenye lolote...tusimhukumu pengine ndivyo alivyo maelezo yangu yalikuwa ni kwa ujumla wake lakini special cases hazikosekani popote
 
Ahsante sana sikuwa nafaham hili jambo aiseee,namm nahs jamaa yang ananchepukia maana na yy yuko kama huyu alosema mfyuuuuuu ngoja nianze upelelezi kimya kimya
 
.kwa hiyo kwa maelezo haya so sio lazima uteute kutoka??!
Pia umesema kuwa ute huo wa awali i.e kabla ya ngono "husaidia kupunguza nguvu ya asidi" .kwa hyo sasa asiyetoa maana yake nguvu ya asidi haipunguzwi. Sasa kama nguvu ya asidi haitapunguzwa, je hakuna madhara yoyote??

Ute kutoka ni lazima lakini unatoka kwa kiasi gani na wakati gani ndio ishu kuna mwingine hutoka wakati mshahemkwa au wakati mnaendelea unaitwa 'safisha njia' hii ni tafsiri yangu binafsi WATAALAM wasije nirukia tena na kuniita muongo
 
Dahh .thankyu much Mshana
 
.kwa hiyo kwa maelezo haya so sio lazima uteute kutoka??!

Exactly, si lazima kwa mantiki kuwa tupo wanaume wenye kuweza kucontrol hilo...

Pia umesema kuwa ute huo wa awali i.e kabla ya ngono "husaidia kupunguza nguvu ya asidi" .kwa hyo sasa asiyetoa maana yake nguvu ya asidi haipunguzwi.

Sidhani kama umeelewa vizuri pale juu...

Cowpers glands hutoa ute ambao hupunguza au kuondoa au ku-neutralize tindikali ambayo huwa inakuwepo kwenye njia ya mkojo (urethra).

Majimaji haya hutoka kabla ya mwanaume kupiga bao linalobeba mbegu za kiume...hivyo haiwezekani mwanaume akapiga bao pasipo majimaji yatokayo katika tezi za cowpers kutolewa kwanza...

Sasa kama nguvu ya asidi haitapunguzwa, je hakuna madhara yoyote??

Soma jibu nambari mbili hapo juu...
 
Na kama umetoka kuchepuka na umejiswafi vizuri kabisa kama shem ni gwiji atajua tu akishika kichwa akakitia kabali lazima kitatapika mabaki japo kidogo na akikikagua kwa ndani atakikuta ni chekundu mno! Hapo wazi atajua tu umetoka kutumika....ukitaka asjue kuna namna yake ya kufanya ila sitaisema hapa

Asee mshana, ishia hapa hapa! Pls, usiendelee tena hawa viumbe huwajui. Watatukagua kama mgambo wa jiji hawa.
 
utando wa ndani ya mboo unaitwa columnar epithelium huwa unagland zinazotoa/weka unyevuunyevu ili isishikane...rangi yake ni red....haibadiliki baada ya tendo....nje ya uume ni squmous epithelium rangi yake hutegemea race...haina gland...haitoi secretion.....ni maalumu kwa ajili ya michubuko...rabsha..kwani imetengenezwa na leyers kadhaa tofauti na columnar....ina single layer....so mshana jr usidanganye watu.....haibadiriki rangi....utavunja ndoa za watu bure!take it if you want!
Mkuu hebu basi liweke sawa hilo swali la mdau. Kwanini huyo mwanaume wake hatoi ule ute wa mwanzo wa kabla ya tendo?
 
Mkuu hebu basi liweke sawa hilo swali la mdau. Kwanini huyo mwanaume wake hatoi ule ute wa mwanzo wa kabla ya tendo?

Thou am bak baada ya kupotea kitambo bt i hop everythng is okey. Kwel badao napata shda maana stil sijawekwa waz kama kuna tatizo au madhara endapo mwanaume hatoi ute ute kabla ya tendo
 
Mzizi mkavu, mshanaJr, watu8. Plz come this way maana stl napata mashaka.
... Labda hanifeel au? Au mniaambie kama si lazima kwa huo ute kutoka na hata usipotoka haina madhara. Hapo roho yangu itapona!!
 
Kwa kawaida mwanaume huweza kutoa majimaji katika vipindi viwili tofauti;

Preejaculation - ute uzalishwao na cowpers glands kwa minajili ya kupunguza nguvu ya asidi katika urethra.

Ejaculation - ute uzalishwao na prostate glands ukibebeba mbegu za kiume zikokazo kwenye korodani...waswahili huuita ute huu kama manii au bao.

Sasa kwa kadiri nilivyomuelewa binti huyu, wanaume ambao amepata kukutana nao isipokuwa mmoja huwa wanakosa self control ya kuzuia manii kutoka na kujikuta wakimwaga manii kabla hata ya kungonoka.

Kabla ya kungonoka ukiaja ute ute utelewao na cowpers glands ambao nao si lazima utoke kabla ya ngono, mwanaume huwa hatoi uteute...

Uteute wowote unaotoka kabla ni ama mwanaume kakosa self control au ana matatizo tu ya misuli izuiayo bao...

Katika aya ya pili umezungumzia "Preejaculation" na umesema hupunguza nguvu ya asidi. Sasa kama usipotoka maana yake asidi haitapunguzwa? Matokeo yake yaweza kuwaje sasa??
 
Jaman..kwanza kabla cjaendelea na mada, Mshana, thankyu ver much for darasa..pia am sory as niliquit ghafla na yote hii ni sababu ya majukumu. Bak to mzizi, yani kama ni kuuchezea. Nishachezea ad sijui nielezeje jaman. Sijui kama kuna sehemu nimebakiza kuchezea

*I like Jf jaman. Yu guys your ma relief:thumbdown:
Kilila au labda ungeuliza kama kuna mbinu nyingine yakuuchezea, maana kuna wataalamu hapa wanajua.
 
Mwanaume yeyote kabla ya sexual contact ni lazima uume wake utoe majimaji yafananayo kama ute wa yai bichi.ute huu unaitwa seamen kazi yake ni kuua sumu zote mbaya kwenye uume zinazoweza kuua sperms.
 
Mwanaume yeyote kabla ya sexual contact ni lazima uume wake utoe majimaji yafananayo kama ute wa yai bichi.ute huu unaitwa seamen kazi yake ni kuua sumu zote mbaya kwenye uume zinazoweza kuua sperms.

Kwa hyo kama ute hautok madhara yake yanaweza kuwaje?
 
Hahahahaaa si ulitaka darasa weye...,?

Nje ya mada, sababu gani inasababisha wakati mwingine ukimaliza tendo unaumwa na tumbo sehemu ya chini ya kitovu? mwanaume huyo huyo siku nyingine haliumi, naomba kufahamishwa.
 
Back
Top Bottom