Wandugu, habari zenu.? Me nimeshakua na katika mahusiano na wanaume watatu. Sa kuna mmoja kati ya hao wakati wa tendo yan yupo dry. Hata ufanyeje hakuna maji yanayotoka kwenye uume. Je hii ikoje? Na je ni lazina kwa mwanaume kutoka maji kwenye uumr katika maandaliz ya tendo?? Majibu tafadhali...
..back to me: mwanaume niliye naye sa hiv akinigusa tu chini kushaharibika. I hate hii hali jaman..yan nakwazika sana Sijui what to do as hii hali ni ngeni kwangu. Hapo mwanzo haikua hivyo. Majibu tafadhali...
Jamani pole sana am sure uko under 20, kinachotoka sio maji bali ni ute, na ute huo ni kemikali moja kali sana inayosafisha njia ili sperms zikipita zile salama zisidhurike na infections zozote
Bytheway unapolowa chini mara mwanaume akushikapo tu kidogo basis ujue Hugo riroho rako rishamdondokea na via vya vizazi vinataka collabo urgently so you just do the needful
Okey. Sasa vip kwa mwanaume ambaye huo ute hautoki??
(...pia am above 20. Kwan abov 20 ndo wanajua kila kitu)
..anyways lets stick on the topic!
Mwanaume ambaye hatoi kuna mawili ni womeniser kapitiliza au ndivyo alivyo mpaka anyegeke sana ndio atoe
Daah...thankyu. ila hapo kama womaniza ndo jibu, kiroho kinaumaa😕
Dah..just mind yangu imekikuta imewaza hvo as dat man alikua ni mtu wa michepuko bt nw anadai katulia af me ndo nishapenda.Kwanini umechagua hilo?
Dah..just mind yangu imekikuta imewaza hvo as dat man alikua ni mtu wa michepuko bt nw anadai katulia af me ndo nishapenda.
mshana jr, anajiridhishaje kwa mfano? Lol
Na mie nahitaji darsa la kumchimba mchimvi hahaha
King'asti hebu soma tena hiyo post utapata kitu, unajua uaminifu sio kujisifu bali ni matendo? Unajua kwanini watu wanapata ndoto nyevu? Au kwanini kuna watu hupata aibu ya kuwachafua kina mama kwenye madaladala? Au hata wale wanaobaka? Ni kwamba production inakuwa kubwa kuliko demand, na depo ikijaa lazima zipungue kwa njia yeyote ile....!!!Trust nothing from him mpaka ujiridhishe
Iko hivi mwanaume anapokuwa kikojozi sana, uzalishaji wa mbegu huzidiwa na demand hivyo kujikuta anakuwa nazo kidogo mno hivyo kukosa hamu ya Kudo na hata akido reaction huwa weak au late ejeculation, na hata akimaliza hutoa kidogo sana na hazina uzito wala harufu
Kama ni kweli kaacha utajua tu, kwakuwa supply itakuwa kubwa sasa kuliko demand kwahiyo kutakuwa na reserve kubwa tu ya sperms hivyo akikuona tu na kama anakufeel fasta ataamsha popo na asu kichwa wazi ataanza kutoa udenda ready for action
Bila kujali early or late ejec end product itakujulisha ukweli wake kutokana na uzito au wepesi wake na harufu pia,....!!! Iko hivi zilizokaa muda mrefu bila kutumika zikitoka huwa nzito nyingi na zenye harufu Fulani hivi, na zile ambazo hazifiki hata robo tank ni nyepesi nyeupe na kidogo
Nitaendelea kukupa darasa ukipenda
Na somo liendelee
Na kama umetoka kuchepuka na umejiswafi vizuri kabisa kama shem ni gwiji atajua tu akishika kichwa akakitia kabali lazima kitatapika mabaki japo kidogo na akikikagua kwa ndani atakikuta ni chekundu mno! Hapo wazi atajua tu umetoka kutumika....ukitaka asjue kuna namna yake ya kufanya ila sitaisema hapa
Na kama umetoka kuchepuka na umejiswafi vizuri kabisa kama shem ni gwiji atajua tu akishika kichwa akakitia kabali lazima kitatapika mabaki japo kidogo na akikikagua kwa ndani atakikuta ni chekundu mno! Hapo wazi atajua tu umetoka kutumika....ukitaka asjue kuna namna yake ya kufanya ila sitaisema hapa