Wewe kweli mpare. Shkamoo mkwea.
Hahahahaaa si ulitaka darasa weye...,?
Nimeomba poo
Na kama umetoka kuchepuka na umejiswafi vizuri kabisa kama shem ni gwiji atajua tu akishika kichwa akakitia kabali lazima kitatapika mabaki japo kidogo na akikikagua kwa ndani atakikuta ni chekundu mno! Hapo wazi atajua tu umetoka kutumika....ukitaka asjue kuna namna yake ya kufanya ila sitaisema hapa
MziziMkavu na watu8 tunaomba ufafanuzi wenu kwa hili
Na kama umetoka kuchepuka na umejiswafi vizuri kabisa kama shem ni gwiji atajua tu akishika kichwa akakitia kabali lazima kitatapika mabaki japo kidogo na akikikagua kwa ndani atakikuta ni chekundu mno! Hapo wazi atajua tu umetoka kutumika....ukitaka asjue kuna namna yake ya kufanya ila sitaisema hapa
Na ukitaka kumbaini mwanamke aliyetoka kuchepuka unamtiaje kabali?
Mchezee Uume wake uone uone kama hauto toka ute kilila Kutoka Ute kwa Mwanamme ni maumbile ya Mwanamme.Wandugu, habari zenu.? Me nimeshakua katika mahusiano na wanaume watatu. Sa kuna mmoja kati ya hao wakati wa tendo yan yupo dry. Hata ufanyeje hakuna maji maji (ute) yanayotoka kwenye uume. Je hii ikoje? Na je ni lazima kwa mwanaume kutoka maji maji (ute) kwenye uume katika maandaliz ya tendo?? Majibu tafadhali...
..back to me: mwanaume niliye naye sa hiv akinigusa tu chini kushaharibika. I hate hii hali jaman..yan nakwazika sana Sijui what to do as hii hali ni ngeni kwangu. Hapo mwanzo haikua hivyo. Majibu tafadhali...
MziziMkavu na watu8 tunaomba ufafanuzi wenu kwa hili
Kwa kawaida mwanaume huweza kutoa majimaji katika vipindi viwili tofauti;
Preejaculation - ute uzalishwao na cowpers glands kwa minajili ya kupunguza nguvu ya asidi katika urethra.
Ejaculation - ute uzalishwao na prostate glands ukibebeba mbegu za kiume zikokazo kwenye korodani...waswahili huuita ute huu kama manii au bao.
Sasa kwa kadiri nilivyomuelewa binti huyu, wanaume ambao amepata kukutana nao isipokuwa mmoja huwa wanakosa self control ya kuzuia manii kutoka na kujikuta wakimwaga manii kabla hata ya kungonoka.
Kabla ya kungonoka ukiaja ute ute utelewao na cowpers glands ambao nao si lazima utoke kabla ya ngono, mwanaume huwa hatoi uteute...
Uteute wowote unaotoka kabla ni ama mwanaume kakosa self control au ana matatizo tu ya misuli izuiayo bao...
umejibu vema..mshana jr amedanganya!mimi ni mtaalamu na ningependa usielezee kitu ambacho hukijui vizuri....sijui unatafutwa umaarufu uonekane mtaalam wa ngono!kaaz kweli!ππ‘π±
Sasa ulikuwa wapi muda wote huo? Hapa ni jukwaa huru kila mmoja ana haki ya kuchangia kile anachokifahamu! Natafuta umaarufu JF ili iweje! Una haki ya kukosoa lakini si kwa vijembe na kejeli...mbona Watu 8 hakufanya hivyo? Think big
Nina uhakika na nilichokisema sasa kama wewe ni mtaalam lakini mimi ni mzoefu
nina muda wa kaz pia muda wa social media....uzoefu si utaalam...huna sababu ya kukasirika ukipewa feedback.....ukitaka kujifunza tulia omba tukuelimishe....tatizo watu wanaweza kuamini uongo unaousema...hapo tu!
Mchezee Uume wake uone uone kama hauto toka ute kilila Kutoka Ute kwa Mwanamme ni maumbile ya Mwanamme.
Usijali kabisaJaman..kwanza kabla cjaendelea na mada, Mshana, thankyu ver much for darasa..pia am sory as niliquit ghafla na yote hii ni sababu ya majukumu. Bak to mzizi, yani kama ni kuuchezea. Nishachezea ad sijui nielezeje jaman. Sijui kama kuna sehemu nimebakiza kuchezea
*I like Jf jaman. Yu guys your ma relief:thumbdown:
Usijali kabisa
Lakini si mlingoti unasimama Dede? Na mkiperform performance ikoje? End product je? Ni nyepesi au nzito?