Maji maji ukeni

Maji maji ukeni

hayo maji ni kama yale ya Kinjekitile Ngwale wa kijiji cha Ngarambe kipindi cha Majimaji war? Lazima yanageuza risasi kuwa maji
 
anawashwa ukeni-kama ndio basi uwezekano mkubwa ni fungus ya ukeni..dawa ushaandikiwa hapo juu,ila ni vema akapimwe kabisa hospitali kwa uhakika zaidi..
Hongera kwa kutumia kinga kwa kweli-ts a habit to keep up.
 
Uko mji gani?kama kando ya bahari mwambie achambe na yale maji.Azuge kama anaogelea uku akifata haya
1 Ajisafishe ukeni kwake mpaka atakapo pata nafuu
2.....................sito andika hapa kwa heshima yangu na marafiki zangu
3...kuna maji ya ngama uliza kwenye vyombo kama vya usafiri majini mwambie anawe
4..Ingia kwenye page yangu nitakufahamisha jinsi ya hizo tiba mbadara zinavyofanya kazi yake,kumbuka mimi sio mganga wa jadi bali naweza kukusaidia kama mwana JF mwenzangu
 
hayo maji ni kama yale ya Kinjekitile Ngwale wa kijiji cha Ngarambe kipindi cha Majimaji war? Lazima yanageuza risasi kuwa maji

Be serious mkuu, jamaa mtu wake anamatatizo af bado unam discourage, sio fair kabisa
 
pole sana unajua hayo nimatatizo ambayo yana weza kusababisha magonjwa ya zinaa hvyo basi na kushauri mwende kituo cha afya ili muweze kupata ushauzi wakitaharamu zaidi sawa ndugu
 
kweli hiyo itakua maambukizo ya fungus au UTI muende wa specialist wa kina mama na uzazi kwa uchunguz zaidi apate matibabu
 
mpake candistat ya cream na vidonge mtumbukizie ukeni itakuwa vaginal fungus,tatizo likiendelea muone daktari aliye karibu yako
 
Tabia ya kuleta jokes wkt mtu yupo serious inaniboa sana! Kama huna cha kuchangia si lazima uchangie.u can reserve your pumba.for your sio lazima uonyeshe how stupid your. Infact majimaji ukeni ni kawaida but yakizidi uenda kuna bacteria wanashambulia.mshaur aende hosptal apimwe ili apatiwe dawa unajua hawa ndugu zetu maumbo yao yako very sensintive. Asipojiosha vizur anapata fungus chupi chafu anapata fungus maji ya kuoga yakiwa sio masafi vyombo vya chooni kwa ujumla ivo uchafu kidogo. Tuu unawaletea fungus.ipo dawa wanapewa mambo yanakuwa mazur kbsa.
 
Back
Top Bottom