Tatizo la maji lilikuwepo kwa muda mrefu baadaye mwezi wa 6 yakarejea yakawa yanatoka kwa wiki mara moja, sasa ni mwezi na siku bila hata tone shida nini? DAWASA mbona mnapenda kutuvuruga akili, au mnafurahia yale magari yaliyoandikwa DAWASA yanavyotuuzia lita 1000 kwa 15000?
Kibaya zaidi hamtoi hata taarifa na wala hamjali, hivi na nyumbni kwenu hakuna maji? Hebu rudisheni maji bwana, na mkiyaleta yaleteni siku nzima siyo dk 10 mnakata mtu unasema tu jamani maji yamerejeaaa tayari yamekatwa looo! Mnatutesa sana kama vipi mtupishe Wananchi tuwe tunakuja hapo kujifungulia maji wenyewe maana kazi imewashinda.
Watu tunashindwa hata kuoga maji mengi kwa raha maana ukiwaza lita 1000 zinataka ndani ya wiki unakuwa mpole unaoga robo ndoo, ila DAWASA mnazingu basi tu mnakera hatari.
Pia soma:KERO - √ - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji kutokana na kasi ndogo ya maji. DAWASA wafafanua