KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kumbe Hawa wamba wapo kitambo Sana
Hiyo miaka ndiyo tuliona na matangazo ya "DR.MATUNGE AKIKICHAMBUA KISONONO".Muda unatutoroka sana.🤔
Muda unatutoroka na kutuvurugaHiyo miaka ndiyo tuliona na matangazo ya "DR.MATUNGE AKIKICHAMBUA KISONONO".Muda unatutoroka sana.🤔
Haha haha hah, Morocco palikuwa na mbuyu mkubwa sana, usiku mizimu inaongeaHiyo miaka ndiyo tuliona na matangazo ya "DR.MATUNGE AKIKICHAMBUA KISONONO".Muda unatutoroka sana.🤔
Aisee...
Christmas TreeKipindi icho.
View attachment 3127144