CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Hivi tuelimishe bartholin's gland zinahusika vipi na kufunga ndoa?
Aseme kuwa nilikuwa ninazini na mchumba wangu, tutachangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi tuelimishe bartholin's gland zinahusika vipi na kufunga ndoa?
Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu na sio kwa wachumba.
Hicho mnachokifanya nyinyi ni ngono na ndio kiini cha tatizo lenu.[/b]
Dawa yake ni kuacha kufanya mpaka hapo mtakapokuwa mmeoana.
Duh, Ruvu chini tena!!