A
Nilichogundua kwenye haya maji ya viwandani kama uko Nyumbani Bora uchemshe ya kwako na kutunza kwenye friji utakuwa na uhakika mayo, kwa Jinsi Watz wasivyojaki afya za wenzao ntapata wasi wasi wa maji hayaSasa langu linahusu makampuni ya maji, nitayataja kwa majina hapa, lengo wafikishiwe wadau nao wachunguze. Hili sijui ni kwa sisi tu wenye pua kali, ila Brand za maji za Uhai, Afya, Hill na GSM kwakweli zimekuwa kero kwa kuwa na maji yanayotoa harufu.
Unakuta umenunua maji mapya kabisa (nukuu vizuri, mapya kabisa) yale ambayo hayajawekwa kwenye friji yaani ya moto ila ukifungua tu ukasogeza mdomoni unywe unahisi zile harufu tunapataga za maji machafu.
Tofauti tu ni kwamba sio kali kwa kuwa maji yamepitia Industrial process ila bado yanabaki yana harufu na inaashiria kabisa kuwa kuna tatizo kuanzia source mpaka kwenye purification line.
Ni brand ya Dew Drop tu ndio ina maji mazuri yenye flavor na bila harufu, Watu kadhaa wamekutana na hilo ila wengi Bado hasa wanaotumia haya maji yakiwa baridi yaani kutoka kwenye friji (effect yake kidogo inakuwa imepungua nadhani kutokana na cooling). Ndugu jamii Forums naomba hata ww Fanya experiment yako, nunua maji ya Afya 1.5 Litres ya moto.
Fungua kisha nusa kabla ya kuyanywa. Utagundua ninachosema, Jaribu pia hata na Hill, Uhai na hata GSM pia. Maji haya nakutana nayo hapa hapa Dar es Salaam maana ndio mkoa yanapozalishwa na kunyweka kwa wingi.
Sasa sijajua kwa mikoani. Japo nahisi kwa mikoa yanapofika kesi itakuwa ni hiyo hiyo maana sifikiri kwamba mabadiliko ya kijiografia yana mchango wa kuleta matokeo tofauti katika hili suala. So ni kwenye maduka ya hapa mjini Dar es Salaam karibu Kila Kona
Hii inawezekana kabisa maana kuweka ingredients ni gharama na kama unavyojua mambo ya michongo kupata faida kubwaMa boss wa Tz uroho ni mwingi sana, yawezekana tunauziwa maji ya mto ruvu, bila kuwekwa ingredient yeyote ile.. 🤔 🤔.
Ndio maji gani hayo?Nime hamia kwenye maji ya Fiji, yanabei kubwa sana ila ni salama sana
Vp kuhusu yale kwa litre 200 TShs?Hii inawezekana kabisa maana kuweka ingredients ni gharama na kama unavyojua mambo ya michongo kupata faida kubwa
Jitahidi kuwaona TBS ili yafanyiwe uchunguzi.Sasa langu linahusu makampuni ya maji, nitayataja kwa majina hapa, lengo wafikishiwe wadau nao wachunguze. Hili sijui ni kwa sisi tu wenye pua kali, ila Brand za maji za Uhai, Afya, Hill na GSM kwakweli zimekuwa kero kwa kuwa na maji yanayotoa harufu.
Unakuta umenunua maji mapya kabisa (nukuu vizuri, mapya kabisa) yale ambayo hayajawekwa kwenye friji yaani ya moto ila ukifungua tu ukasogeza mdomoni unywe unahisi zile harufu tunapataga za maji machafu.
Tofauti tu ni kwamba sio kali kwa kuwa maji yamepitia Industrial process ila bado yanabaki yana harufu na inaashiria kabisa kuwa kuna tatizo kuanzia source mpaka kwenye purification line.
Ni brand ya Dew Drop tu ndio ina maji mazuri yenye flavor na bila harufu, Watu kadhaa wamekutana na hilo ila wengi Bado hasa wanaotumia haya maji yakiwa baridi yaani kutoka kwenye friji (effect yake kidogo inakuwa imepungua nadhani kutokana na cooling). Ndugu jamii Forums naomba hata ww Fanya experiment yako, nunua maji ya Afya 1.5 Litres ya moto.
Fungua kisha nusa kabla ya kuyanywa. Utagundua ninachosema, Jaribu pia hata na Hill, Uhai na hata GSM pia. Maji haya nakutana nayo hapa hapa Dar es Salaam maana ndio mkoa yanapozalishwa na kunyweka kwa wingi.
Sasa sijajua kwa mikoani. Japo nahisi kwa mikoa yanapofika kesi itakuwa ni hiyo hiyo maana sifikiri kwamba mabadiliko ya kijiografia yana mchango wa kuleta matokeo tofauti katika hili suala. So ni kwenye maduka ya hapa mjini Dar es Salaam karibu Kila Kona
Kwenye mashine za OR systems? Yale huenda yakawa Bora kwa sababu zile mashine zinafiktrate, kuoyrify na Ku add some essential elementsVp kuhusu yale kwa litre 200 TShs?
Kili ya zamaniKilimanjaro maji safi sana🔥🔥🔥🔥🔥
Bado yapo vyema mkuuKili ya zamani
Uko mkoa ganiKimsingi huwa sinywi maji ya chupa.
Toka nizaliwe tunakunywa maji ya visima, tela vile natural kwenye chemchem.
Na hatujawahi kupata tatizo lolote!
ni mineral waterNdio maji gani hayo?