HOJA Maji mengi ya Kampuni hizi kubwa nahisi yana harufu flani ambayo si nzuri

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Wakuu nunueni mini reverse osmosis household systems.
Hapa unaepukana na maji yasiyo salama.
Hii nimefunga nyumbani, hakuna kuchemsha, hakuna haruf.
 
Hii inawezekana kabisa maana kuweka ingredients ni gharama na kama unavyojua mambo ya michongo kupata faida kubwa
Changamoto sana mkuu, tunauana wenyewe kwa wenyewe.

Kuna kiwanda kimoja kilikuwa kinatengeneza juice, ukiiweka kwa mda mrefu ina settle chini particles kama uji hivi.
 
Kuna haya maji ya wachina vijana wa mjini wanayaita mishangazi..yako kwenye ujazo wa lita 2 yanauzwa buku tu,yale maji sijayapenda kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…