Maji meupe ukeni

Maji meupe ukeni

Jaribu pia kujisafisha na Feminelle intimate wash ya oriflame mrad isiguse ndani itakusaidia kukukinga zaidi
 
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.

Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe ya kiasi cha kuloanisha ukeni na nguo ya ndani Ila sio yanavuja mpaka nguo za nje...
ni meupe Kama maji ya kunywa ,meupe kabisa
na hayana harufu kabisa.
Ila ukiyashika inakua Kama maji baada ya mda yanaganda na kunata nata..

ni ishara ya nini ? au Nina tatizo mahala,? je yana madhara?
(nimetoka kumaliza dozi ya u.t.i jana , piroxicam &nitrofurantion)

Usikae muda mrefu bila kukalia msumari wa bati
 
Ni kitu cha kawaida kabisa na kinawatokea wanawake wengi wenye afya njema nyakati mbali za siku mara nyingi ni asubuhi lakini pia inaweza kutokea hata mchana na nyakati tofauti, lakini kupata uhakika ni vizuri kumuona doctor ili ayaangalie maji hayo kama ni salama.

maambukizi gani
 
asante kwa maelekezo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom