KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Mazingira magumu ya waalimu yanaanzia kwny college wanazosoma jamani,hapa MUCE no water,leo ni siku ya pili,afu kama wiki hivi Mhe.Hawa Ghasia alikuja hapa chuoni....japo wanachuo wng hawakulijua hilo,najiuliza alikuja kupiga msele au....Wadau mnaohusika tupatieni maji jamani,tukiwa lecture......hapakaliki.
mbona huwa mnapenda kujishusha! UDOM wanakokosa maji nako ni college ya waalimu? wewe sema kwamba huko kuna kero ya maji kwa siku hizo mbili! lakini usianze kulalamika ukihusianisha na uwalimu!
Na DARUSO na wanasemaje?
Na DARUSO na wanasemaje?