Maji MUCE.

Maji MUCE.

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
229
Mazingira magumu ya waalimu yanaanzia kwny college wanazosoma jamani,hapa MUCE no water,leo ni siku ya pili,afu kama wiki hivi Mhe.Hawa Ghasia alikuja hapa chuoni....japo wanachuo wng hawakulijua hilo,najiuliza alikuja kupiga msele au....Wadau mnaohusika tupatieni maji jamani,tukiwa lecture......hapakaliki.
 
mbona huwa mnapenda kujishusha! UDOM wanakokosa maji nako ni college ya waalimu? wewe sema kwamba huko kuna kero ya maji kwa siku hizo mbili! lakini usianze kulalamika ukihusianisha na uwalimu!
 
mbona huwa mnapenda kujishusha! UDOM wanakokosa maji nako ni college ya waalimu? wewe sema kwamba huko kuna kero ya maji kwa siku hizo mbili! lakini usianze kulalamika ukihusianisha na uwalimu!

Hapana mkuu walimu tunashida sana nchi hii
 
Mungu akusaidie we kijana upate moyo wa uvumilivu.
Kwa ujumla MUCE hakuna tatizo la maji kama unavyolikuza wewe.
1.Tembelea vyuo&college nyingine ikiwemo pale Mlimani Campus ndiyo ujue
shida ya maji ikoje.
2.Kumbuka ulikotoka,ndiyo upate ujasiri wa kusema MUCE kuna mazingira magumu&shida ya maji.
Maji kukatika siku 2 tu, umeshalalamika mpaka mitandaoni?
Hujawahi kuona maji yakikatika wiki hadi
wiki2 na watu wanavuta subira?
Eti mazingira magumu?MUCE!!?
Hujawahi kupata changamoto ktk maisha?
Tembea uone!!!
Anyway,labda ungesema lecturers ni wakorofi na wanabana,kidogo ningekuelewa!
SOMA KWA BIDII upate GPA nzuri,usipoteze muda kwa kulalamika.
 
Back
Top Bottom